Wanayanga mkajibu swali la CAF

Wanayanga mkajibu swali la CAF

Ahahahahaha lol since 1998 hata la 7 sijamaliza uwiiiiii leo ni mtu mzima na nina watoto kadhaa kweli mabingwa wa historia.
 
ndo mafanikio hayo??au ndo kombe hilo??maana bado sijajibiwa kuwa makolo fc wana mafanikio kimataifa labda wamebeba kombe flani etc!!!!
Hata hayo ni mafanikio acha kushupaza shingo. Mwaka huu fanyeni basi kweli mchukue ubingwa mtutoe kimaso maso. Tuacheni sisi wa vikombe vya robo fainali mara kibaaoo na nusu kadhaa nyie chukueni kabisa ndoo.
 
kumbe kufika robo final ni mafanikio???basi hata yanga alifika mwaka 1998 chini ya tito mwaluvanda!!nilijiua mafanikio ni kombe bana!kumbe sio!hahahahaha
 
kumbe kufika robo final ni mafanikio???basi hata yanga alifika mwaka 1998 chini ya tito mwaluvanda!!nilijiua mafanikio ni kombe bana!kumbe sio!hahahahaha
Timu alinyang'anywa Tito akapewa Raul Shungu aliyekua kocha wa Rayon Sports ambayo ilitolewa na Yanga kwenda Robo fainal.
 
Miaka 24 dah kweli utopolo ni manyani vinyesi
 
PSG na MANCHESTER CITY ni underdog na wamefika nusu fainali ya UEFA ila Simba kufika robo fainal ..Simba ni timu kubwa....
Wewe mshikaj huna akili hata kidogo
Nimesema kuchukua UEFA champions league au Caf champions league ukiachana na uwekezaji ila hata achievement pia ni kama njia ya mafanikio hao PSG na Manchester city nimewataja kwasababu ni team zilizofanya uwekezaji mku sana katika league zao ila bado UEFA champions league wanapata tabu ila tabu wanazopata simba hawawezi kufanana na yanga sio lazima uamini ninachokwambia.
 
Simba ana fanana na nani? maana sio baridi sio moto
 
Umezitolea mfano Man City na PSG za ulaya kwa sababu hazijabeba kombe la champions league. Sasa ndugu mleta mada nipe tofauti yako na hao mashabiki wanaotukana kwa sababu hiyo Simba yenyewe haijabeba hilo kombe kwa nini uje hapa ujimwambafai kama vile na wewe ushabeba hilo kombe la CAF?
Umeelewa swali lakini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kule CAF hakuna ukubwa wa nafasi, zile nafasi ni namba tu. Timu kubwa nizile zilizo twaa makombe. Hakuna ukubwa wa point kule.
Ni mbumbumbu asiyejiyambua tu Anaye fikiria ukubwa wa CAf ni point za timu.
Pamba neni mtwae ubingwa nanyi mtaitwa vigogo sio kuji tutumua wakati hamtambuliki.
Mfano Kwa apa Tanzania Yanga ndio wakubwa Kwa kutwaa ubingwa maranyingi.
Mbna unalia sasa, tatizo nn tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juma pili mnaenda saa ngapi kuwapokea big bullet airport mkuu nataka niwachangie nauli mashabiki misekule wa east Africa.
Huwa ninawashangaa sana na kuwacheka mashabiki wa aina yako lakini napata wasiwasi kwa sababu nahisi nyie mmeanza kushabikia mpira juzi juzi. Nasema ivyo kwa sababu huu utaratibu wa kushabikia timu pinzani hasa ya Yanga au Simba zinapocheza kimataifa zilianzishwa na mashabiki wa Simba kama hujui kafuatilie. Sasa hivi mnaona mshabiki wa Yanga wanafanya kwa sababu hamjui kilianzia wapi.

Fuatilia muda na nguvu ni vyako. Nakupa reference moja Yanga na TP Mazembe nakumbuka ilikua 2016 fuatilia Simba fans walifanya nini!!
 
Back
Top Bottom