[emoji23] endeleeni kusubiria meli mataa ya chang'ombe,nikupe tu hii,senzo ndio kiunganishi wa Yanga kwa nje ya uwanja na yeye anajua kule kolo kina magori na pope fitna gani waliyokua wanaifanya,senzo now ni acting CEO,kazi haiwezi kuonekana ikiwa timu aifanyi vizuri ndio kaomba watu kama hao kina bin kleb waje kwa upande mwingine yeye akiendelea na transformation,Yanga hamna makundi ila nyie endeleeni kujidanganya,hersi ni kama mwakilishi wa gharib na anafanya kazi bega kwa bega na msola,makolo kolo msitegemee mgogoro wowote pale Yanga kwa siku za karibuni,yan hata wale waliojiweka kando sasa hivi wako karibu na klabu