Wanayanga Mnaoshangilia kina Davis Mosha na Bib kleib mtalia baadaye

Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib

Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan ahata zogo la mapato ya juzi ya utopolo day ulionyeshwa dharau sana na unajua soon senzo mfumo mpya ukianza ndo kabisa utaonekana useless kuliko sasa hivi

Ndugu zangu wana utopolo aliyewaambia kina Mosha na Gsm wanaiva ni nani? najua mtatukana kama tulivyosema kuhusu Nugaz na Bumbuli kukasirika uwepo wa msukule mkabisha na hili mtakuja kukiri siku moja

Nikireport toka kurasini bandarini ni mimi nzagambadume a.k.a MZEE TOZI..MZEE M bad KABISA KIBOKO YA MAJITU YENYE TAMAA YA PESA..WAZEE WA BANDARI MELI HIYOOO POOOOOOH
Mimi yanga lakini siwaoni GSM yanga in near future waswahili wameshituka kitu.
 
Bin kleb,seif na ghari wako close zaidi ya unavyofikiri,na hao watu transformation ikikamilika watakua upande wa wawekezaji,chini ya senzo sahauni machafuko Yanga
Machafuko pale Yanga hayaepukiki kwasababu kuna makundi kati ya gsm na uongozi chini ya Dr.Msola.gsm anafanya kazi kwa ukaribu zaidi na timu yake ya Mfikirwa,Injinia na Senzo.nguvu ya pesa inawafunika kina Msola unaweza kuhisi ni wafanya usafi tu wa club.
Ofisi za Yanga moja ipo Jangwani nyingine ipo posta.
 
😂 endeleeni kusubiria meli mataa ya chang'ombe,nikupe tu hii,senzo ndio kiunganishi wa Yanga kwa nje ya uwanja na yeye anajua kule kolo kina magori na pope fitna gani waliyokua wanaifanya,senzo now ni acting CEO,kazi haiwezi kuonekana ikiwa timu aifanyi vizuri ndio kaomba watu kama hao kina bin kleb waje kwa upande mwingine yeye akiendelea na transformation,Yanga hamna makundi ila nyie endeleeni kujidanganya,hersi ni kama mwakilishi wa gharib na anafanya kazi bega kwa bega na msola,makolo kolo msitegemee mgogoro wowote pale Yanga kwa siku za karibuni,yan hata wale waliojiweka kando sasa hivi wako karibu na klabu
 
Hii id nilikua naiheshimu sana zamani kumbe mtu wa hovyo tu.
 
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib

Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan ahata zogo la mapato ya juzi ya utopolo day ulionyeshwa dharau sana na unajua soon senzo mfumo mpya ukianza ndo kabisa utaonekana useless kuliko sasa hivi

Ndugu zangu wana utopolo aliyewaambia kina Mosha na Gsm wanaiva ni nani? najua mtatukana kama tulivyosema kuhusu Nugaz na Bumbuli kukasirika uwepo wa msukule mkabisha na hili mtakuja kukiri siku moja

Nikireport toka kurasini bandarini ni mimi nzagambadume a.k.a MZEE TOZI..MZEE M bad KABISA KIBOKO YA MAJITU YENYE TAMAA YA PESA..WAZEE WA BANDARI MELI HIYOOO POOOOOOH
Endelea kupiga ramli zisizokuwa na kichwa wala miguu, yanga itawatesa Sana safari hii, ramli zenu za ovyo ovyo aziwezi fanikiwa na yule tapeli wenu anayeifilisi klabu mmeshindwa kumdhibiti mmebaki kurukia mambo ya yanga mnachekesha kweli,
 
Dah kweli aisee sasa yule tapeli tunamtoaje? tusaidieni basi jameni sisi wenyewe tumemchoka miaka 4 alichofanikiwa ni ubingwa mara 4 na robo fainali ya caf mara mbili tu ,halafu team kwenye ranks za Afrika iko ya 14 tu
HATUFAI. E,BU TUFUNDISHENI JINSI YA KUENDESHA TEAM JAMANI ,DAH NYIE JAMAA MKO VERY ORGANISED YAANI
 
😂 endeleeni kusubiria meli mataa ya chang'ombe,nikupe tu hii,senzo ndio kiunganishi wa Yanga kwa nje ya uwanja na yeye anajua kule kolo kina magori na pope fitna gani waliyokua wanaifanya,senzo now ni acting CEO,kazi haiwezi kuonekana ikiwa timu aifanyi vizuri ndio kaomba watu kama hao kina bin kleb waje kwa upande mwingine yeye akiendelea na transformation,Yanga hamna makundi ila nyie endeleeni kujidanganya,hersi ni kama mwakilishi wa gharib na anafanya kazi bega kwa bega na msola,makolo kolo msitegemee mgogoro wowote pale Yanga kwa siku za karibuni,yan hata wale waliojiweka kando sasa hivi wako karibu na klabu
Jinga hilo lilisababisha tutolewe na ud songo, useless CEO aliyewahi kupita simba ni huyo
 
Machafuko pale Yanga hayaepukiki kwasababu kuna makundi kati ya gsm na uongozi chini ya Dr.Msola.gsm anafanya kazi kwa ukaribu zaidi na timu yake ya Mfikirwa,Injinia na Senzo.nguvu ya pesa inawafunika kina Msola unaweza kuhisi ni wafanya usafi tu wa club.
Ofisi za Yanga moja ipo Jangwani nyingine ipo posta.
wajinga hawawezi elewa hiyo
 
😂 endeleeni kusubiria meli mataa ya chang'ombe,nikupe tu hii,senzo ndio kiunganishi wa Yanga kwa nje ya uwanja na yeye anajua kule kolo kina magori na pope fitna gani waliyokua wanaifanya,senzo now ni acting CEO,kazi haiwezi kuonekana ikiwa timu aifanyi vizuri ndio kaomba watu kama hao kina bin kleb waje kwa upande mwingine yeye akiendelea na transformation,Yanga hamna makundi ila nyie endeleeni kujidanganya,hersi ni kama mwakilishi wa gharib na anafanya kazi bega kwa bega na msola,makolo kolo msitegemee mgogoro wowote pale Yanga kwa siku za karibuni,yan hata wale waliojiweka kando sasa hivi wako karibu na klabu
Unakumba kwanini rogers alijiuzuru mwaka Jana.msolwa akaona mbali sana kuwarudisha wahuni wa soka LA bongo ili kugorvern GSM.hao jamaa ni wazee wa fitina kweli kweli.muda utazungumza ukweli ndani yanga kuna makundi kati viongozi na genge LA GSM
 
Bin kleb,mosha na gharib kibiashara wapo karibu mno yan ndio waje kugombana kuijenga Yanga,subirini maumivu wazee hizo dua zenu mbovu sahauni
 
Juzi Gsm wamemtuma dada anaitwa Warda kwenda kukagua na kuhakiki mauzo ya tiketi za utopolo day wahusika upande wa klabuni wakamchomesha mahindi, kila upande unataka kuchukua zile pesa za uto day
Mwenyekiti yuko kama pambo hata shughuli kubwa za siku hizi za kumtambulisha sukule, kuzindua yale matambara yenye sura za vibwengo kote huko hakuwepo kabisa
Hata yeye hatari kaiona mbeleni,maana huku simba pia mwenyekiti ni pambo lakini hajatolea macho kazi ile na simba washazoea, msolwa ghafla kumshusha status kiasi hiko haitakuwa rahisi lazima"wahuni "was oka la bongo wam protect kidogo
 
Bro mie mwananchi Ila hili naliona,nimeliona mapema naamini hata wewe utaliona siku za usoni.
 
Juzi Gsm wamemtuma dada anaitwa Warda kwenda kukagua na kuhakiki mauzo ya tiketi za utopolo day wahusika upande wa klabuni wakamchomesha mahindi, kila upande unataka kuchukua zile pesa za uto day
Mwenyekiti yuko kama pambo hata shughuli kubwa za siku hizi za kumtambulisha sukule, kuzindua yale matambara yenye sura za vibwengo kote huko hakuwepo kabisa
Hata yeye hatari kaiona mbeleni,maana huku simba pia mwenyekiti ni pambo lakini hajatolea macho kazi ile na simba washazoea, msolwa ghafla kumshusha status kiasi hiko haitakuwa rahisi lazima"wahuni "was oka la bongo wam protect kidogo
Tatizo sisi washabiki na wanachama wa timu hizi,kuna muda hatutumii utashi wetu kuelewa mambo,unadhani ni rahisi watu wenye ego karibu ya mosha kufanya kazi na GSM.Akina rogers wao hamtaki kabisa galib yangu kwani,wanajua jamaa anaitumia yanga kwa mipango yake.anasajiri kwa ajiri ya kutengenza attention ya mauzo ya jezi,ndio unaona timu inaenda kambi siku sita.tunamisi sana Yusuf Manji sisi wanayanga.
 
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib

Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan ahata zogo la mapato ya juzi ya utopolo day ulionyeshwa dharau sana na unajua soon senzo mfumo mpya ukianza ndo kabisa utaonekana useless kuliko sasa hivi

Ndugu zangu wana utopolo aliyewaambia kina Mosha na Gsm wanaiva ni nani? najua mtatukana kama tulivyosema kuhusu Nugaz na Bumbuli kukasirika uwepo wa msukule mkabisha na hili mtakuja kukiri siku moja

Nikireport toka kurasini bandarini ni mimi nzagambadume a.k.a MZEE TOZI..MZEE M bad KABISA KIBOKO YA MAJITU YENYE TAMAA YA PESA..WAZEE WA BANDARI MELI HIYOOO POOOOOOH
Ya utopolo waachie utopolo,na ya mokolokolo waachie makolokolo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] endeleeni kusubiria meli mataa ya chang'ombe,nikupe tu hii,senzo ndio kiunganishi wa Yanga kwa nje ya uwanja na yeye anajua kule kolo kina magori na pope fitna gani waliyokua wanaifanya,senzo now ni acting CEO,kazi haiwezi kuonekana ikiwa timu aifanyi vizuri ndio kaomba watu kama hao kina bin kleb waje kwa upande mwingine yeye akiendelea na transformation,Yanga hamna makundi ila nyie endeleeni kujidanganya,hersi ni kama mwakilishi wa gharib na anafanya kazi bega kwa bega na msola,makolo kolo msitegemee mgogoro wowote pale Yanga kwa siku za karibuni,yan hata wale waliojiweka kando sasa hivi wako karibu na klabu
Mtani jifunze kukwepa ngumi,tafuta pumzi kabisa ya kukimbia kikinuka,D😀😀😀.
 
Back
Top Bottom