Leo ni tarehe 16 na ndio siku ambayo Yanga anawasili Morroco, tar 17 ndo anaanza mazoezi rasmi kwahyo ukianza kuhesabu kutoka hapo mpaka tar 26, hapo utapata siku 10 za mazoezi zilizokamilika,hiyo siku ya tar 26 jioni ndo safari inaanza ya kurudi Tanzania na wanafika hapa nyumbani tar 27 and in simple calculation wanakuwa wametumia siku 11 za mazoezi na safari ya kurudi nyumbani
Kambi za moazezi nje ya nchi yako huwa sio za mwezi mzima ila ni siku chache, kabla msimu hujaanza arsenal waliweka kambi ya siku tano kule nchini Scotland na wakacheza mechi mbili za kirafiki kati ya Herbinian na Rangers
Hizo ni kambi ambazo huwa ni za kimkakati zaidi na kuwafanya wachezaji kuwa tayari na next season