Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ms**e kafuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani nimecheka,jamaa nilikuwa namuona mjanja mpaka alipoamua kujilipua na lugha ya Malkia [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ms**e kafuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahaaa kumbe Unaongelea ushabiki.Ndiyo maana ligi ilipoanza wakafungwa na Brentford
Kwani wangeweka kambi Morogoro hiyo mikakati wasingepanga ?Nimetoa maelezo namna ya kambi za nje ya nchi yako zinavyokuwa za kimkakati hasa hasa kwa kujiandaa na next season competitions
Na hii nimeongelea kwa taaluma ya football Inavyosema ktk moja ya mafunzo ya ukocha ngazi ya CAF leseni A
Kwahiyo Arsenal hakufungwa na Brentford ?Ahaaa kumbe Unaongelea ushabiki.
Umeelewa ulichokiandikaKwani wangeweka kambi Morogoro hiyo mikakati wasingepanga ?
Kufungwa huwa ni sehemu ya mchezo mkuu ila haizuii mikakati yao katika kambi waliyoweka coz target ni michezo yote ndani ya msimu mzima na hiyo haijalishi utapoteza mechi ngapiKwahiyo Arsenal hakufungwa na Brentford ?
Ndiyo maana nimeandikaUmeelewa ulichokiandika
Ahaaa sawaNdiyo maana nimeandika