MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Unazungumziaje siku kama 6 hivi zitazopotea kwa ajili ya safari na mapumziko? kwa timu mpya kama Yanga ilihitaji zaidi kuwa pamoja kujenga muunganiko. CAF ipo kwenye konaSio Bangi
Wamepata exposure ya kuuanza msimu mpya
Siku 5 zinatosha kabisa kubadili hali ya hewa na kupanga mikakati mipya
Zinatosha kubadili mazingira na kupanga mikakati ya msimu mpya.unazungumziaje siku kama 6 hivi zitazopotea kwa ajili ya safari na mapumziko? kwa timu mpya kama Yanga ilihitaji zaidi kuwa pamoja kujenga muunganiko. CAF ipo kwenye kona
Sio comedian, ni commodityOscar ni mchambuzi au comedian?
Mipango haipangwi na wachezaji. VIONGOZ ndio hupanga kwa ushauri wa team coch. WACHEZAJI NI WATEKELEZAJI WA MWISHOZinatosha kubadili mazingira na kupanga mikakati ya msimu mpya...
Ndio kilichopelekea game ya kwanza ya arsenal kupakatwa na brentfod.Leo ni tarehe 16 na ndio siku ambayo Yanga anawasili Morroco, tar 17 ndo anaanza mazoezi rasmi kwahyo ukianza kuhesabu kutoka hapo mpaka tar 26, hapo utapata siku 10 za mazoezi zilizokamilika....
It's shame, am not deserve to talk with a fan, am only deserve to talk with sportsman only
We hujawahi kuona watu wa Daresalaam wanaenda kufanya semina nje ya Daresalaam hata kama ingeweza kufanyika Daresalaam.Mipango haipangwi na wachezaji. VIONGOZ ndio hupanga kwa ushauri wa team coch. WACHEZAJI NI WATEKELEZAJI WA MWISHO
Huyu ni mwanenu mtopolo mwenzenuKwani huyo Oscar Oscar ni nani mpaka tumsikilize! Akafie zake mbali huko.
Ndiyo maana ligi ilipoanza wakafungwa na BrentfordLeo ni tarehe 16 na ndio siku ambayo Yanga anawasili Morroco, tar 17 ndo anaanza mazoezi rasmi kwahyo ukianza kuhesabu kutoka hapo mpaka tar 26, hapo utapata siku 10 za mazoezi zilizokamilika,hiyo siku ya tar 26 jioni ndo safari inaanza ya kurudi Tanzania na wanafika hapa nyumbani tar 27 and in simple calculation wanakuwa wametumia siku 11 za mazoezi na safari ya kurudi nyumbani
Kambi za moazezi nje ya nchi yako huwa sio za mwezi mzima ila ni siku chache, kabla msimu hujaanza arsenal waliweka kambi ya siku tano kule nchini Scotland na wakacheza mechi mbili za kirafiki kati ya Herbinian na Rangers
Hizo ni kambi ambazo huwa ni za kimkakati zaidi na kuwafanya wachezaji kuwa tayari na next season