Makundi mawili yenye timu nne nne unaita 16 bora?! Mwalimu wako wa hesabu nani Bwana Mdogo?!Duuuuh, we jamaa muongo, yanga kafika robo fainali lini... Hyo 1998 alifika hatua ya makundi yani 16 bora na sio robo fainali
Daaaaaaah wewe makundi tena robo fainali mbona sijakuelewa, fafanua kidogo?Yanga imekua ikishiriki michuano ya Caf kwa miaka mingi na ikiendelea kuchukua kombe la Nyumbani. Inawezekana hujui upinzani wa Yanga na Simba, Haijalishi Yanga au Simba anashiriki michuano ipi wao sikuzote ni kuombeana njaa. Kingine ambacho hujui Simba ata ikifanikiwa kupita kwenye kundi lake itaenda kucheza hatua ya Makundi ambayo kimuundo ni Robo fainaili kitu ambacho Yanga ilisha fikia mwaka 1998. Ili Simba iweze kuibeba Tanzania inatakiwa iingie nusu fainali baada ya kupenya kwenye makundi ya Robo fainali kitu ambacho hakipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ka Google Caf Champion league 1998 utaziona timu 8 zilizo cheza robo fainali . Utaikuta Yanga.Daaaaaaah wewe makundi tena robo fainali mbona sijakuelewa, fafanua kidogo?
Pili naomba ushahidi wa Yanga kufika robo fainali kwenye club bingwa Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 1998 Yanga alicheza makundi CAF CL ambapo kipindi hicho ilikuwa ni timu 8, kwa maana ya kila kundi timu 4,.. ambayo ndio robo fainal wanayoita..ila kiuhalisia ilikuwa makundi yenye timu 8, 4/4.Daaaaaaah wewe makundi tena robo fainali mbona sijakuelewa, fafanua kidogo?
Pili naomba ushahidi wa Yanga kufika robo fainali kwenye club bingwa Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Robo kwakua zilibaki timu 8. Kwakua ata ziki baki 4 bado inawezwa chezwa ligi ndogo wakachukuliwa mshindi wa kwanza na wapili ikachezwa fainali ni muundo tu waliamua. kwa ujumla zikibaki timu 4 ni nusu fainali, Ziki baki mbili zinacheza fainali.Mwaka 1998 Yanga alicheza makundi CAF CL ambapo kipindi hicho ilikuwa ni timu 8, kwa maana ya kila kundi timu 4,.. ambayo ndio robo fainal wanayoita..ila kiuhalisia ilikuwa makundi yenye timu 8, 4/4.
Kwa kumbukumbu Yanga walimaliza mkiani na point 2 negative ya magoli 16.. kati ya mechi 6 hakuna aliyoshinda.
Yale makundi ya mapinduzi Cup na yenyewe ni robo fainali??kwa hiyo timu zinaingia robo fainali moja kwa moja mashindano yanapoanza??maana ukitoka ktk makundi yake ya Mapinduzi inafuata nusu fainali kisha fainali,sasa Yale makundi ni robo fainali??Usilazimishe kitu ambacho hakipo!!!!Yanga ilifika hatua ya makundiRobo kwakua zilibaki timu 8. Kwakua ata ziki baki 4 bado inawezwa chezwa ligi ndogo wakachukuliwa mshindi wa kwanza na wapili ikachezwa fainali ni muundo tu waliamua. kwa ujumla zikibaki timu 4 ni nusu fainali, Ziki baki mbili zinacheza fainali.
Kama bado hujaelewa Tambua kwamba hatua wanayo pigania simba kwa sasa ikifuzu inaingia kwenye Makundi ambayo zitabaki timu 8 nisawa na kusema Simba wanapigania kucheza Robo fainali uu ni muundo wa Caf tofau4thi na Uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwenye ile michuano Timu zilianza Ngap? Vyovyote utakavyo sema ila katika michuano ya ligi ya mabingwa mwaka 1998 yanga ilikua moja ya timu 8 bora katika michuano iyo. Kwa sasa Simba ina pambana iingie katika timu 8 bora za mashindano ya ligi ya Mabingwa 2019.Yale makundi ya mapinduzi Cup na yenyewe ni robo fainali??kwa hiyo timu zinaingia robo fainali moja kwa moja mashindano yanapoanza??maana ukitoka ktk makundi yake ya Mapinduzi inafuata nusu fainali kisha fainali,sasa Yale makundi ni robo fainali??Usilazimishe kitu ambacho hakipo!!!!Yanga ilifika hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya waungwana hushindana kwa hoja. Uje sasa unipe kanuni iliyotumika kupewa timu 4. Mbili club bingwa na mbili shirikisho.Hebu weka hiyo kanuni ya CAF inayosema kuwa timu ikiingia robo fainali basi nchi husika huzawadiwa nafasi mbili za ushiriki
Ninachojua ni suala la point ambazo nchi husika inazo ambazo hupatikana kwa timu za nchi husika kuingia hatua ya makundi na kuendelea mbele mara nyingi zaidi na sio kufika robo fainali kwa ndondokea ya mara moja
Unaishi Dunia ipi wewe?Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.
Jambo la kwanza, ikiwa simba itafanikiwa kufuzu robo fainali ingeifanya bodi ya mashindano ya caf kuijadili kuiongezea uwakilishi wa timu Tanzania, badala ya moja kwa ligi ya mabingwa zingekuwa mbili. Hivyo Tanzania ingekuwa inatoa wawakilishi wa tatu au zaidi pamoja na ktk shilikisho. Si lazima yanga awe mwakilishi kimataifa, hapana ila ukizungumzia uwakilishi wa timu tatu huwezi kuwaacha yanga.
Jambo la pili ambalo wanajangwani wangefaidika nalo ni kuwa, ikiwa simba sc watatinga hatua zifuatazo/ ifuatayo angeelekeza nguvu katika mashindano mawili, yaani ligi ya mabigwa na ligi. " mshika mawili moja humponyoka" usemi huo ndiyo ulikuwa umewafika vijana hawa wa msimbazi. Wangekuwa bize huku na huko jambo ambalo sina hakika kama wangeweza kulihimili. Hiyo ina maana yanga angetumia mwanya huo kupigania ligi.
Badala yake mambo yamekuwa tofauti, utawaona wanayanga aidha kwa kutokujua, makusudi au vyote kwa pamoja utawaona wawakiwa bize tena wengine wakiwa tumbo wazi kuwashangilia al ahly na As vita ili simba sc wafungwe.....wakifugwa watatolewa. Swali, je simba sc wakitupwa nje ligi ya mabingwa watabaki katika mashindo yapi ili wapate kuwakilisha nchi kimataifa? Jibu ni ligi tu, maana FA hayupo.Jenga picha Simba anashiriki ligi baada ya pote alipogusa kaambulia patupu......utaelewa tu.
Wakati mwingine msirudie tena kosa hili.