WANAYANGA SC MSIRUDIE KOSA HILI

WANAYANGA SC MSIRUDIE KOSA HILI

Duuuuh, we jamaa muongo, yanga kafika robo fainali lini... Hyo 1998 alifika hatua ya makundi yani 16 bora na sio robo fainali
Makundi mawili yenye timu nne nne unaita 16 bora?! Mwalimu wako wa hesabu nani Bwana Mdogo?!
 
Yanga imekua ikishiriki michuano ya Caf kwa miaka mingi na ikiendelea kuchukua kombe la Nyumbani. Inawezekana hujui upinzani wa Yanga na Simba, Haijalishi Yanga au Simba anashiriki michuano ipi wao sikuzote ni kuombeana njaa. Kingine ambacho hujui Simba ata ikifanikiwa kupita kwenye kundi lake itaenda kucheza hatua ya Makundi ambayo kimuundo ni Robo fainaili kitu ambacho Yanga ilisha fikia mwaka 1998. Ili Simba iweze kuibeba Tanzania inatakiwa iingie nusu fainali baada ya kupenya kwenye makundi ya Robo fainali kitu ambacho hakipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaaah wewe makundi tena robo fainali mbona sijakuelewa, fafanua kidogo?
Pili naomba ushahidi wa Yanga kufika robo fainali kwenye club bingwa Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua ya Yanga kuja uwanjani kuwazomea Simba mechi za kimataifa ni mchango tosha kabisa wa Yanga.
Simba hatutaki yanga itushangilie na hawawezi, huu ndio upinzani na utani wa jadi..
Ukitaka Yanga awashangilie SIMBA basi Atolewe FA.. Ashushwe pale juu ya ligi na ifikie hatua anaelekea kupoteza ubingwa ndio utawaona wakisali simba awabebe wapate nafasi ya CAF.. ila kwa sasa hawana uhitaji huo.

Tofauti na hapo binafsi naenjoy upinzani uliopo.
 
Daaaaaaah wewe makundi tena robo fainali mbona sijakuelewa, fafanua kidogo?
Pili naomba ushahidi wa Yanga kufika robo fainali kwenye club bingwa Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 1998 Yanga alicheza makundi CAF CL ambapo kipindi hicho ilikuwa ni timu 8, kwa maana ya kila kundi timu 4,.. ambayo ndio robo fainal wanayoita..ila kiuhalisia ilikuwa makundi yenye timu 8, 4/4.

Kwa kumbukumbu Yanga walimaliza mkiani na point 2 negative ya magoli 16.. kati ya mechi 6 hakuna aliyoshinda.
 
Hebu weka hiyo kanuni ya CAF inayosema kuwa timu ikiingia robo fainali basi nchi husika huzawadiwa nafasi mbili za ushiriki
Ninachojua ni suala la point ambazo nchi husika inazo ambazo hupatikana kwa timu za nchi husika kuingia hatua ya makundi na kuendelea mbele mara nyingi zaidi na sio kufika robo fainali kwa ndondokea ya mara moja
 
Write your reply...Ukisikia ushoga ndiyo huo watu kama nyinyi huwa tunawasaka kuwaziba na superglue ya mnyeo mmekuwa kama wacheza kibao kata mlitakiwa kwanza mmwambie yule mropokaji hasiejua maana ya uafisa habari afute kauli yake ya ushoga mbele ya wanahabari kama umesahau nakukumbusha alitamka nanukuu Kuanzia leo hatutoishangilia tena Yanga iwe ligi ya nyumbani au mashindano ya kimataifa mwisho wa kunukuu
 
Mwaka 1998 Yanga alicheza makundi CAF CL ambapo kipindi hicho ilikuwa ni timu 8, kwa maana ya kila kundi timu 4,.. ambayo ndio robo fainal wanayoita..ila kiuhalisia ilikuwa makundi yenye timu 8, 4/4.

Kwa kumbukumbu Yanga walimaliza mkiani na point 2 negative ya magoli 16.. kati ya mechi 6 hakuna aliyoshinda.
Robo kwakua zilibaki timu 8. Kwakua ata ziki baki 4 bado inawezwa chezwa ligi ndogo wakachukuliwa mshindi wa kwanza na wapili ikachezwa fainali ni muundo tu waliamua. kwa ujumla zikibaki timu 4 ni nusu fainali, Ziki baki mbili zinacheza fainali.
Kama bado hujaelewa Tambua kwamba hatua wanayo pigania simba kwa sasa ikifuzu inaingia kwenye Makundi ambayo zitabaki timu 8 nisawa na kusema Simba wanapigania kucheza Robo fainali uu ni muundo wa Caf tofau4thi na Uefa.

Yale makundi ya mapinduzi Cup na yenyewe ni robo fainali??kwa hiyo timu zinaingia robo fainali moja kwa moja mashindano yanapoanza??maana ukitoka ktk makundi yake ya Mapinduzi inafuata nusu fainali kisha fainali,sasa Yale makundi ni robo fainali??Usilazimishe kitu ambacho hakipo!!!!Yanga ilifika hatua ya makundi

Unajua kwenye ile michuano Timu zilianza Ngap? Vyovyote utakavyo sema ila katika michuano ya ligi ya mabingwa mwaka 1998 yanga ilikua moja ya timu 8 bora katika michuano iyo. Kwa sasa Simba ina pambana iingie katika timu 8 bora za mashindano ya ligi ya Mabingwa 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu weka hiyo kanuni ya CAF inayosema kuwa timu ikiingia robo fainali basi nchi husika huzawadiwa nafasi mbili za ushiriki
Ninachojua ni suala la point ambazo nchi husika inazo ambazo hupatikana kwa timu za nchi husika kuingia hatua ya makundi na kuendelea mbele mara nyingi zaidi na sio kufika robo fainali kwa ndondokea ya mara moja
Haya waungwana hushindana kwa hoja. Uje sasa unipe kanuni iliyotumika kupewa timu 4. Mbili club bingwa na mbili shirikisho.
 
Attachments

  • FB_IMG_15596753977006166.jpg
    FB_IMG_15596753977006166.jpg
    18.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_2019-06-04-14-45-14-1.png
    Screenshot_2019-06-04-14-45-14-1.png
    126.4 KB · Views: 18
Mi nasubiri kuona press release ya yanga wakijitoa klabu bingwa Africa ksb walisema hawawezi kukubali kubebwa na Simba kwamba watashiriki klabu bingwa kwa wao kuchukua TPL hivyo kwa taarifa hiyo nahisi yanga watachomoa
 
Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.

Jambo la kwanza, ikiwa simba itafanikiwa kufuzu robo fainali ingeifanya bodi ya mashindano ya caf kuijadili kuiongezea uwakilishi wa timu Tanzania, badala ya moja kwa ligi ya mabingwa zingekuwa mbili. Hivyo Tanzania ingekuwa inatoa wawakilishi wa tatu au zaidi pamoja na ktk shilikisho. Si lazima yanga awe mwakilishi kimataifa, hapana ila ukizungumzia uwakilishi wa timu tatu huwezi kuwaacha yanga.

Jambo la pili ambalo wanajangwani wangefaidika nalo ni kuwa, ikiwa simba sc watatinga hatua zifuatazo/ ifuatayo angeelekeza nguvu katika mashindano mawili, yaani ligi ya mabigwa na ligi. " mshika mawili moja humponyoka" usemi huo ndiyo ulikuwa umewafika vijana hawa wa msimbazi. Wangekuwa bize huku na huko jambo ambalo sina hakika kama wangeweza kulihimili. Hiyo ina maana yanga angetumia mwanya huo kupigania ligi.

Badala yake mambo yamekuwa tofauti, utawaona wanayanga aidha kwa kutokujua, makusudi au vyote kwa pamoja utawaona wawakiwa bize tena wengine wakiwa tumbo wazi kuwashangilia al ahly na As vita ili simba sc wafungwe.....wakifugwa watatolewa. Swali, je simba sc wakitupwa nje ligi ya mabingwa watabaki katika mashindo yapi ili wapate kuwakilisha nchi kimataifa? Jibu ni ligi tu, maana FA hayupo.Jenga picha Simba anashiriki ligi baada ya pote alipogusa kaambulia patupu......utaelewa tu.

Wakati mwingine msirudie tena kosa hili.
Unaishi Dunia ipi wewe?

Man U akamshangilie Liverpool?
Dhana ya ushabiki was mpira itakuwa imefika mwisho.

Yanga hata siku haitaomba ushangiliwe na Mikia. Itakuwa kujitia mkosi.
 
Back
Top Bottom