mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Tafadhalini sana wapenzi wa timu ya wananchi ambayo mwaka huu haina ubavu wakutwaa Ubingwa Yanga,naomba mnijuze Je Zahera ni Kocha au Dalali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu punguza hasira ,mie naamini ni Dalali kwani ndie aliyeenda kumleta Makambo na ndie aliyeenda kumuuza Makambo alichofanya Zahera ni UDALALI sio kazi ya Kocha hiyo.Mikiya mkubwa ww unavoona ni dalali au kocha?
Viongozi wanamuogopa hatari hakuna wa kumpa maelekezo paleYanga kakataa kukabidhi madaraka kwa Yanga mpya
Mtani naona mnampa majina yote mpaka yale ya uongo na kweli.Ni mfadhili, kocha, msemaji, mwenyekiti wa harambee na wakala wa wachezaji.
Mtani naona mnampa majina yote mpaka yale ya uongo na kweli.
Ama kweli Zahera kiboko. 😀😀😀
Kajambe huko..Tafadhalini sana wapenzi wa timu ya wananchi ambayo mwaka huu haina ubavu wakutwaa Ubingwa Yanga,naomba mnijuze Je Zahera ni Kocha au Dalali?
Mkuu naona unatamani kufa ,Zahera ni dalali kawaingiza chaka eti ni kocha ona hata ubingwa mmekwama Mnyama anautwaa Ubingwa kabla ligi haijaisha chezea Simba wewe.Kajambe huko..
Alichosema yeye alimsindikiza Mtani.Mwenyekiti wa Yanga aliongea kwenye Media kwamba Zahera alienda na Makambovic huko alikouzwa.
Swali: Zahera alienda kama nani?
Alichosema yeye alimsindikiza Mtani.
Sasa nikujibu nini hapa Mtani wakati ndio alichokisema huyo Zahera aliyekwenda.Kwamba Makambovic ni mtoto angepotea?
Sasa nikujibu nini hapa Mtani wakati ndio alichokisema huyo Zahera aliyekwenda.