WANAYANGA ZAHERA NI KOCHA AU WAKALA?

WANAYANGA ZAHERA NI KOCHA AU WAKALA?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Tafadhalini sana wapenzi wa timu ya wananchi ambayo mwaka huu haina ubavu wakutwaa Ubingwa Yanga,naomba mnijuze Je Zahera ni Kocha au Dalali?
 
Mikiya mkubwa ww unavoona ni dalali au kocha?
Mkuu punguza hasira ,mie naamini ni Dalali kwani ndie aliyeenda kumleta Makambo na ndie aliyeenda kumuuza Makambo alichofanya Zahera ni UDALALI sio kazi ya Kocha hiyo.
 
Back
Top Bottom