Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha Citizen TV Kenya.

Mojawapo ya jambo kubwa litakolozungumziwa ni ufafanuzi wa kauli aliyowahi kuitoa katika seneti Marekani ya kumuhusu kijana Ibrah Traore, mtawala wa Burkinafaso.

Kwa wale mnaojua Kingereza msikose kutazama, kwa wale msiojua Kingereza subirieni mpate tafsiri kutoka kwa wanaojua kipindi kikiisha.
Screenshot_20250527-213233_X.jpg

20250527_221021.jpg
 
Kenya ndio nchi pekee ambayo wananchi wake
Hawana ardhi ya kutosha na hakuna harakati za ku adili katiba ikabiliane na hali hiyo
 
View attachment 3347927

View attachment 3347940
Acha ushabiki wa kipumbavu, eti jukwaa kubwa. Kahamie we shoga, ndio maana wakenya wanawadharau na kuwananga kwani wakenya pamoja na tofauti zao wameshawahi kuisifu nchi nyingine zaidi ya nchi yao?
 
Kenya ndio nchi pekee ambayo wananchi wake
Hawana ardhi ya kutosha na hakuna harakati za ku adili katiba ikabiliane na hali hiyo
Ardhi ya kutosha ni kiasi gani?
Singapore, Korea Kusini, Switzerland na Ireland zina ardhi ya kutosha?
 
Unamjua collin powel?
Nadhani hakumaanisha 4 star general, in general.

Katika United States marine corps, yeye General Langley ndo Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa na cheo cha jenerali wa nyota 4.

Daniel James Jr. ndo alikuwa Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa jenerali wa nyota 4 katika matawi yote ya jeshi la Marekani.
 
Haya, sisi tunaojua Kingereza cha moyoni tunasubiri tafsiri kutoka kwenu wataalamu, walizungumza nn 😎
 
Wakenya wamewazidi mbali sana waswahili wa aina yako ambao akili zinajua ushoga tu.
Nenda kaolewe huko we shoga, we mbwa koko hii dunia hakuna unalojua unashabikia upumbavu tu. Hiyo Kenya yenyewe hujafika. Wakenya sisi wengine tumeishi nao mpk nje ya nchi ni mapoyoyo tu na viinglish vyao vibovu. Kenya haiikaribii Tanzania, Tanzania is a great nation, kinachowasumbua wakenya ni inferiority complex wanataka kushindana na giant. We raia malaya, malaya hana mipaka na hana mapenzi na mwanaume yeyote
 
Hakikisha unatafuta hela ya tuition mapema, watoto wako wakirithi akili hii ni mzigo na upumbavu kwa ukoo wako.
We mbwa koko mi nimeshapita hiyo hatua, mi siyo mtoto mshamba km wewe usiyeweza ht kujichamba. Ukoo wangu umeshatoka huko we mwanaharamu. Kosa ni babako kusahau kuvaa condom mbwa km ww asingezaliwa. Wenzio hbr za umaskini na ujinga hawawazi
 
Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha Citizen TV Kenya.

Mojawapo ya jambo kubwa litakolozungumziwa ni ufafanuzi wa kauli aliyowahi kuitoa katika seneti Marekani ya kumuhusu kijana Ibrah Traore, mtawala wa Burkinafaso.

Kwa wale mnaojua Kingereza msikose kutazama, kwa wale msiojua Kingereza subirieni mpate tafsiri kutoka kwa wanaojua kipindi kikiisha.
View attachment 3347927

View attachment 3347940
Hivi kwann ma General wa US huwa hawana vitambi tofauti na wetu ?
 
Unamjua collin powel?
Collin Powel alikuwa Waziri wa ulinzi kama sikosei, hapo kinaongelewa cheo jeshini, ingawa Powel pia alikuwa mwanajeshi lakini hakufikia hapo.

Ni kama huyo Traoure cheo chake kijeshi ni kidogo lakini ndio Rais kwahiyo jeshi lote lipo chini yake.
 
Acha ushabiki wa kipumbavu, eti jukwaa kubwa. Kahamie we shoga, ndio maana wakenya wanawadharau na kuwananga kwani wakenya pamoja na tofauti zao hawajawahi kuisifu nchi nyingine zaidi ya nchi yao.
Na wewe si ujisifu uone kama utpata credit maana unajijua wazi huna mvuto jisifu kwa hilo zuri unaloliona wewe shoga mzoefu
 
Back
Top Bottom