Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wapo wengi sana zaidi ya Mia nakupa wachache tu hao bila kusahau waziri wa ulinzi wa aliyepita kipindi cha Biden anaitwa General Lyod Austin na Aliyekua waziri wa Mambo y nje wa Marekani kipindi cha Obama anaitwa General Colin Powell na wengine baadhi hapa chiniHuyo jamaa ana cheo ambacho yeye ndio mtu mweusi wa kwanza kuwa nacho kwa huko USA...