Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wapo wengi sana zaidi ya Mia nakupa wachache tu hao bila kusahau waziri wa ulinzi wa aliyepita kipindi cha Biden anaitwa General Lyod Austin na Aliyekua waziri wa Mambo y nje wa Marekani kipindi cha Obama anaitwa General Colin Powell na wengine baadhi hapa chiniHuyo jamaa ana cheo ambacho yeye ndio mtu mweusi wa kwanza kuwa nacho kwa huko USA...
General Michael E.Langley is indeed the first African American Four Star General in the U.S Marine Corps.Wapo wengi sana zaidi ya Mia nakupa wachache tu hao bila kusahau waziri wa ulinzi wa aliyepita kipindi cha Biden anaitwa General Lyod Austin na Aliyekua waziri wa Mambo y nje wa Marekani kipindi cha Obama anaitwa General Colin Powell na wengine baadhi hapa chini
Kyagata daah na wewe upo nje ya taarifa Powell alikua na four star General huko marine corps? mbona hii ilitangazwa sana saana shida yenu ni nini jamaa anaapishwa kinachoongelewa ni hicho hicho first African American four star General leo mnakuja na vitu vya Powell daah ndio maana wahuni wanatutukana mwenzio kawaweka anasema wapo zaidi ya mia wakati hata kwenye vitabu imekua ni history...chukueni hii hakuna mtu mwenye asili ya Afrika aliekua na nyota nne za Ugenerali wa marine corps ndio mtaelewa huyo ndio wa kwanza.Unamjua collin powel?
Collins Powel ndio pia alipiganisha vita vya ghuba vya mwaka 1990 kati ya USA na Iraq, USA aliungwa mkono na rafiki zake 29 so you may say, all of those 29 countries were led by USA, who was USA at that time? It was Collind Powel.Collin Powel alikuwa Waziri wa ulinzi kama sikosei, hapo kinaongelewa cheo jeshini, ingawa Powel pia alikuwa mwanajeshi lakini hakufikia hapo.
Ni kama huyo Traoure cheo chake kijeshi ni kidogo lakini ndio Rais kwahiyo jeshi lote lipo chini yake.
Nadhani hakumaanisha 4 star general, in general.
Katika United States marine corps, yeye General Langley ndo Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa na cheo cha jenerali wa nyota 4.
Daniel James Jr. ndo alikuwa Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa jenerali wa nyota 4 katika matawi yote ya jeshi la Marekani.
Du! 😄 😄 😄We mbwa koko mi nimeshapita hiyo hatua, mi siyo mtoto mshamba km wewe usiyeweza ht kujichamba. Ukoo wangu umeshatoka huko we mwanaharamu. Kosa ni babako kusahau kuvaa condom mbwa km ww asingezaliwa. Wenzio hbr za umaskini na ukinga hawawazi
Huyo kawa 4 star general 1982!Полное видео в (VIP ГРУППА ФУЛЛЫ) — Video | VK
Полное видео в (VIP ГРУППА ФУЛЛЫ) — Video | VKuc.xyz