Wanazi wa Mabasi: Huu Ndiyo Uwekezaji Sasa!

Wanazi wa Mabasi: Huu Ndiyo Uwekezaji Sasa!

Mimi simjui hata sura yake ila taarifa zake nilizipata humu mtandaoni kwahiyo siwezi kuwa na shida binafsi na mtu nisiejuana nae kiongozi...mzee kikwete alisema akili za kuambiwa changanya na zako...summry anadai kilimo cha mahindi kinamlipa sana kiasi kwamba mtu mwingine anajiuliza mahindi hayahaya?

Hiyo ya Sumry kumfahamu kupitia mitandao na kudharau "Mahindi" siwezi kukulaumu. Ni vile hujafahamu biashara yake ikoje. Ukipata muda nenda insta "Msipazi Farm" utajua mahindi analimaje. Lakini pia ana biashara ya kukodisha mitambo mikubwa ya ujenzi, ni biashara hao jamaa wa basi mbili tatu, wenda wanasubiri. 😊
 
Wanakopa;
Hoja yangu ni kwamba; biashara basi za abiria, haina faida ulilinganisha na mtaji wake, mtaji mkubwa return kidogo. Ndio hoja yangu, elewa hoja yangu.
Bus moja jipya (la Mchina)likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.
 
Bus moja jipya likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.

Mkuu, tunazungumzia basi hizi za bilioni kasoro, achana na basi za milioni 200. Mwaka hapana, miaka mitatu mpaka minne sawa.
 
Bus moja jipya (la Mchina)likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.

RR kwa mchina ni sawa! Sipingi hapo; ila huo mzigo wa mtoa mada, hapo return ni miaka mitatu au minne kwa basi. Pesa nyingi sana ipo hapo.
Hata kama akitoka Sumbawanga- Dar kila leo.
 
Bora hii kuliko uchuuzi, unaweza ku customise hilo basi ukaweka vtu flan flan vya kuvutia wateja ukawin soko.wachuuzi wananunua kitu na kukiuzqa kama kilivyo. Njia pekee ya kuwin kwenye uchuuzi ni kuuza bei ya chini.uchuuz ni ujinga
Wabongo mna maneno sana. Wachuuzi wako Kariakoo wana make billions wewe unasema ujinga? Haya tuambie wewe unafanya nini ambacho sio ujinga una make trillions.
 
RR kwa mchina ni sawa! Sipingi hapo; ila huo mzigo wa mtoa mada, hapo return ni miaka mitatu au minne kwa basi. Pesa nyingi sana ipo hapo.
Hata kama akitoka Sumbawanga- Dar kila leo.
Mzigo wa G7 ni long term project kama KLM. Lakini mkuu kwa biashara miaka 3/4 sio mingi pia hizo G7 zina longer life span
 
Wewe utakuwa na shida binafsi na Sumry, huko juu umesema Sumry hakustui. Sasa unakataza tusifanye rejea kwa mtu ambaye kafanya biashara tunayoiongelea kwa miaka 30!
Huyo aliondoka kwenye biashara ya Mabus baada ya kupiga mkopo wa Benk. Mabus yote alichukua mkopo na kuchukua used buses kwa bei ya juu na akabadirisha biashara.
 
Biashara ya usafirishaji wa abiria ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.
Biashara hiyo inahitaji nidhamu ya hali ya juu, kama huna nidhamu kwenye biashara hiyo miaka miwili tu utaenda kuuza magari yako kwenye chuma chakavu.

Fact​

 
Nitajie legends watano ambao mpaka leo wapo kwenye biashara hii! Hii biashara ina watu wapya kila uchao, watu wanaishia kufilisika, na madeni na hii biashara.
Sina majina, ila kwa uelewa nilio nao ninaweza kukwambia issue imekaaje sitaweza kusema/kuandika issue ya kufirisika, sababu najua tajiri (siyo hawa wa nyoka) huwa hawafirisiki.

Mfano, kuna mtu humjui, anaitwa MO - Iringa siyo MO wa simba kuna wa mabus, kuna MO - Shy, kuna Sumry - Sumbawanga nk.

Nimetaja hao kwa sababu ndiyo walitesa enzi hizo, sijui ulikuwa wapi je, wamefirisika?.
 
Kujadili habari za mabasi mwisho miaka mingapi?
Wote Millennial and Gen Z.

Maana humu kuna Gen Z wanatakiwa kupata Elimu ya hii kazi/biashara.

Hawa Gen Z siku hizi wana raha wanatoka skuli na kuingia kwenye mabus, hawajui hata mfuniko wa rejeta ulipo 😂!.

Ukiandika sana, wanakwambia sikupewa kazi kuwa fundi 😢!!.
 
Sina majina, ila kwa uelewa nilio nao ninaweza kukwambia issue imekaaje sitaweza kusema/kuandika issue ya kufirisika, sababu najua tajiri (siyo hawa wa nyoka) huwa hawafirisiki.

Mfano, kuna mtu humjui, anaitwa MO - Iringa siyo MO wa simba kuna wa mabus, kuna MO - Shy, kuna Sumry - Sumbawanga nk.

Nimetaja hao kwa sababu ndiyo walitesa enzi hizo, sijui ulikuwa wapi je, wamefirisika?.

Sumry hajafilisika, aliachana na biashara ya bus na alitoa sababu kuwa ni pasua kichwa. Ndio MO simjui.
 
Back
Top Bottom