Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Naomba basi unitajie kiongozi hizo biasharaNaweza kukutajia biashara kubwa yenye mtaji mkubwa na faida kubwa. Biashara ya basi, inamtaji mkubwa faida kidogo na ya kusua sua.
Ndio hoja yangu toka mwanzo.
Bora hii kuliko uchuuzi, unaweza ku customise hilo basi ukaweka vtu flan flan vya kuvutia wateja ukawin soko.wachuuzi wananunua kitu na kukiuzqa kama kilivyo. Njia pekee ya kuwin kwenye uchuuzi ni kuuza bei ya chini.uchuuz ni ujingaShida ya biashara ya basi zinataka mtaji mkubwa faida kidogo, sifa nyingi. π
Kilimanjaro ExpressNitajie legends watano ambao mpaka leo wapo kwenye biashara hii! Hii biashara ina watu wapya kila uchao, watu wanaishia kufilisika, na madeni na hii biashara.
Mimi simjui hata sura yake ila taarifa zake nilizipata humu mtandaoni kwahiyo siwezi kuwa na shida binafsi na mtu nisiejuana nae kiongozi...mzee kikwete alisema akili za kuambiwa changanya na zako...summry anadai kilimo cha mahindi kinamlipa sana kiasi kwamba mtu mwingine anajiuliza mahindi hayahaya?
Bus moja jipya (la Mchina)likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.Wanakopa;
Hoja yangu ni kwamba; biashara basi za abiria, haina faida ulilinganisha na mtaji wake, mtaji mkubwa return kidogo. Ndio hoja yangu, elewa hoja yangu.
Bus moja jipya likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.
Bus moja jipya (la Mchina)likitembea mwaka mzima linarudisha hela. Mind you bus jipya ni very reliable kutembea mwaka au miaka miwili bila matatizo makubwa ni kawaida.
Wabongo mna maneno sana. Wachuuzi wako Kariakoo wana make billions wewe unasema ujinga? Haya tuambie wewe unafanya nini ambacho sio ujinga una make trillions.Bora hii kuliko uchuuzi, unaweza ku customise hilo basi ukaweka vtu flan flan vya kuvutia wateja ukawin soko.wachuuzi wananunua kitu na kukiuzqa kama kilivyo. Njia pekee ya kuwin kwenye uchuuzi ni kuuza bei ya chini.uchuuz ni ujinga
Mzigo wa G7 ni long term project kama KLM. Lakini mkuu kwa biashara miaka 3/4 sio mingi pia hizo G7 zina longer life spanRR kwa mchina ni sawa! Sipingi hapo; ila huo mzigo wa mtoa mada, hapo return ni miaka mitatu au minne kwa basi. Pesa nyingi sana ipo hapo.
Hata kama akitoka Sumbawanga- Dar kila leo.
Huyo aliondoka kwenye biashara ya Mabus baada ya kupiga mkopo wa Benk. Mabus yote alichukua mkopo na kuchukua used buses kwa bei ya juu na akabadirisha biashara.Wewe utakuwa na shida binafsi na Sumry, huko juu umesema Sumry hakustui. Sasa unakataza tusifanye rejea kwa mtu ambaye kafanya biashara tunayoiongelea kwa miaka 30!
Taja mkuu kwa faida ya woteNaweza kukutajia biashara kubwa yenye mtaji mkubwa na faida kubwa. Biashara ya basi, inamtaji mkubwa faida kidogo na ya kusua sua.
Ndio hoja yangu toka mwanzo.
Sina majina, ila kwa uelewa nilio nao ninaweza kukwambia issue imekaaje sitaweza kusema/kuandika issue ya kufirisika, sababu najua tajiri (siyo hawa wa nyoka) huwa hawafirisiki.Nitajie legends watano ambao mpaka leo wapo kwenye biashara hii! Hii biashara ina watu wapya kila uchao, watu wanaishia kufilisika, na madeni na hii biashara.
Wote Millennial and Gen Z.Kujadili habari za mabasi mwisho miaka mingapi?
Sina majina, ila kwa uelewa nilio nao ninaweza kukwambia issue imekaaje sitaweza kusema/kuandika issue ya kufirisika, sababu najua tajiri (siyo hawa wa nyoka) huwa hawafirisiki.
Mfano, kuna mtu humjui, anaitwa MO - Iringa siyo MO wa simba kuna wa mabus, kuna MO - Shy, kuna Sumry - Sumbawanga nk.
Nimetaja hao kwa sababu ndiyo walitesa enzi hizo, sijui ulikuwa wapi je, wamefirisika?.
Basi naishia hapo ππΎ..!