James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Kwa jina tu ni sub set ethnic group la wapogoro na wandamba na wangindo, hata lugha hawezi kwenda mbali hapo, it might have been founded out geographical dialect.Habarini zenu
Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani?
Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu?
Mwenye kulifahamu ili kabila tafadhali atujuze.
Alamsiki
Tabia zao unazifahamu?Kwa jina tu ni sub set ethnic group la wapogoro na wandamba na wangindo, hata lugha hawezi kwenda mbali hapo, it might have been founded out geographical dialect.
Not real, the infinite wande has given me some tipsTabia zao unazifahamu?
Wakoje?
Hili nalijua kabisaaaNikama mbeya huko una kutana na kabila la wabungu
Dah kuna rafiki yangu mmoja mndewe , sikutegemea ana uswahili Fulani hivi wa ajabu. Sikutegemea kabisa.Not real, the infinite wande has given me some tips
Ndio hao sasa hatoki mbali na mpogolo au mndambaDah kuna rafiki yangu mmoja mndewe , sikutegemea ana uswahili Fulani hivi wa ajabu. Sikutegemea kabisa.
Niliambiwa Mndelwe na Mngoni ni nduguNdio hao sasa hatoki mbali na mpogolo au mndamba
Acha basi.Niliambiwa Mndelwe na Mngoni ni ndugu
🤣🤣🤣Mimi nimeambiwa tu ila kiasili wanasema ni jamii kutoka Zimbabwe sijui Kwa Zulu NatalAcha basi.
Unataka kuniambia nimejiingiza kwenye matatizo na Wangoni.
Hatari sana hii ngoja sasa nijipange kama wako sawa niongeze umakini zaidi.🤣🤣🤣Mimi nimeambiwa tu ila kiasili wanasema ni jamii kutoka Zimbabwe sijui Kwa Zulu Natal
Inawezekana pia mkondo wa malinyi huoNiliambiwa Mndelwe na Mngoni ni ndugu