Wandelwe ni kabila la wapi?

Wandelwe ni kabila la wapi?

James Hadley Chase

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
1,984
Reaction score
3,695
Habarini zenu

Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani?

Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu?

Mwenye kulifahamu ili kabila tafadhali atujuze.

Alamsiki
 
Kwa jina tu ni sub set ethnic group la wapogoro na wandamba na wangindo, hata lugha hawezi kwenda mbali hapo, it might have been founded out geographical dialect.
 
Kuna kakabila pia ka Wambunga! Na wenyewe hawana tofauti kubwa na Wandamba. Nazikumbuka sana zile salamu zao za Hawijee! Kaimukaa!! 😃
 
Back
Top Bottom