James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Habarini zenu
Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani?
Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu?
Mwenye kulifahamu ili kabila tafadhali atujuze.
Alamsiki