tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Vyama vya msajiliVyama vya kweny flashi hivyo
Nyie watoto wadogo ndio mnajua chadomo na CCM pekee. Elimu ya siasa duni halafu mnataka kujadili mambo makubwaMgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza leo Jumanne, Agosti 12, 2025, baada ya kukabidhiwa rasmi fomu za kugombea urais, Mwaijojele amesema sababu kuu inayowafanya baadhi ya watumishi wa umma kusita kustaafu ni kutokujua watakwenda wapi au kufanya nini baada ya maisha ya ajira.
Soma pia:
View attachment 3439214
“Watu wengi wanaogopa kustaafu kwa sababu hawajajiandaa kisaikolojia wala kiuchumi. Hawajui wataishije au watakaa wapi baada ya kazi. Lakini suluhisho lipo,” amesema Mwaijojele, bila kufafanua kwa undani mapendekezo ya chama chake katika kushughulikia changamoto hiyo.
Mwaijojele ameahidi kuweka wazi mikakati ya CCK kuhusu masuala ya wastaafu katika kampeni zake za urais.
Hata hivyo, Mwaijojele amesema moja ya mikakati ya kuwawezesha watumishi wa umma kunufaika baada ya kustaafu ni kuanzishwa kwa mpango maalumu wa makato ya kodi, ambapo sehemu ya mapato yao itahifadhiwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi.
Kipo kitambo tu tangu enzi ya Spika Sitta, kina Mwakyembe, nkMgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza leo Jumanne, Agosti 12, 2025, baada ya kukabidhiwa rasmi fomu za kugombea urais, Mwaijojele amesema sababu kuu inayowafanya baadhi ya watumishi wa umma kusita kustaafu ni kutokujua watakwenda wapi au kufanya nini baada ya maisha ya ajira.
Soma pia:
View attachment 3439214
“Watu wengi wanaogopa kustaafu kwa sababu hawajajiandaa kisaikolojia wala kiuchumi. Hawajui wataishije au watakaa wapi baada ya kazi. Lakini suluhisho lipo,” amesema Mwaijojele, bila kufafanua kwa undani mapendekezo ya chama chake katika kushughulikia changamoto hiyo.
Mwaijojele ameahidi kuweka wazi mikakati ya CCK kuhusu masuala ya wastaafu katika kampeni zake za urais.
Hata hivyo, Mwaijojele amesema moja ya mikakati ya kuwawezesha watumishi wa umma kunufaika baada ya kustaafu ni kuanzishwa kwa mpango maalumu wa makato ya kodi, ambapo sehemu ya mapato yao itahifadhiwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi.
We mshamba kweli, hiko Chama kipo tangu enzi za kina sitta (r.i.p) Hadi ikavuma kuwa atajiunga nacho.Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza leo Jumanne, Agosti 12, 2025, baada ya kukabidhiwa rasmi fomu za kugombea urais, Mwaijojele amesema sababu kuu inayowafanya baadhi ya watumishi wa umma kusita kustaafu ni kutokujua watakwenda wapi au kufanya nini baada ya maisha ya ajira.
Soma pia:
View attachment 3439214
“Watu wengi wanaogopa kustaafu kwa sababu hawajajiandaa kisaikolojia wala kiuchumi. Hawajui wataishije au watakaa wapi baada ya kazi. Lakini suluhisho lipo,” amesema Mwaijojele, bila kufafanua kwa undani mapendekezo ya chama chake katika kushughulikia changamoto hiyo.
Mwaijojele ameahidi kuweka wazi mikakati ya CCK kuhusu masuala ya wastaafu katika kampeni zake za urais.
Hata hivyo, Mwaijojele amesema moja ya mikakati ya kuwawezesha watumishi wa umma kunufaika baada ya kustaafu ni kuanzishwa kwa mpango maalumu wa makato ya kodi, ambapo sehemu ya mapato yao itahifadhiwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi.
We una udumavu wa akili, upigaji unaingiaje hapo we bwege?Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza leo Jumanne, Agosti 12, 2025, baada ya kukabidhiwa rasmi fomu za kugombea urais, Mwaijojele amesema sababu kuu inayowafanya baadhi ya watumishi wa umma kusita kustaafu ni kutokujua watakwenda wapi au kufanya nini baada ya maisha ya ajira.
Soma pia:
View attachment 3439214
“Watu wengi wanaogopa kustaafu kwa sababu hawajajiandaa kisaikolojia wala kiuchumi. Hawajui wataishije au watakaa wapi baada ya kazi. Lakini suluhisho lipo,” amesema Mwaijojele, bila kufafanua kwa undani mapendekezo ya chama chake katika kushughulikia changamoto hiyo.
Mwaijojele ameahidi kuweka wazi mikakati ya CCK kuhusu masuala ya wastaafu katika kampeni zake za urais.
Hata hivyo, Mwaijojele amesema moja ya mikakati ya kuwawezesha watumishi wa umma kunufaika baada ya kustaafu ni kuanzishwa kwa mpango maalumu wa makato ya kodi, ambapo sehemu ya mapato yao itahifadhiwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi.
Hicho ndio chama alichoasisi Polepole kabla hajaitwa kula mema ya nji hiiMgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.