Wangapi mmepewa talaka mahakamani leo 31 dec 2010???

Wangapi mmepewa talaka mahakamani leo 31 dec 2010???

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Napenda kuwapa pole wale wote walioshindwana na Ndoa na kuamua kuelekea kulsuluhisha
mahakamani baada ya Muda mrefu wa vikao vya kusuluhishana kwa wazazi
Polen sana sana na Mungu atawalinda na kuwabariki ila lipo jambo jema Mungu huwa anatoa pale unapomwomba...yawezekana ulipenda kwa kutumia macho yako bila kumshirirkisha Mungu yawezekana alikusaidia schol fees jangwani sec mpaka formsix ukaona huyu ndie wa bwana kumwacha ntamwachaje hata akiwa na vimeo vyake na mengineyo ...yote hayo naomba ufute uanze upya na maisha yako simama na MUNGU akulinde akupiganie...usikubali kuanza kushindana kwa kuonyeshana nani mwamaba..wapo wanaokufa kabla ya mafanikio yao..lakini usikubali uujinga wa kushindana hata kidogo mtakufa na kumalizana

Nawatakia kila la kheri na fanaka na Ndoa mpya
 
Mkuu hii nzuri ila naon kama inatonesha makovu!:redfaces:
 
dah we kaka umeongea point jaman
asante sana
i wl stend on ma fit.
thaxxxxxxxxxxxxxxxx so much
 
Back
Top Bottom