Wangapi mnaikumbuka Yanga hii kabla ya Instagram? Tuwataje waliopo kikosini

Waliochuchumaa kuanzia julia.
Nursing Bakari,Godfrey Bony,Fred Mbuna,Mrisho Ngassa.
 
Mimi si mkongwe sana ila kwa hrkhrk namuona Ngasa,Nurdin Bakari,Mbuna,Abdi Kaasim,Kaseja,Godfrey Bonny(r.i.p),Ambani,huyo mweupe aliyesimama sina uhakika sana nahisi ni Wisdom Ndlovu hao wawili upande wa kushoto mmoja kasimama mmoja kachuchumaa yaani mmoja yupo nyuma ya mwenzie siwakumbuki vzr ila kwa kubahatisha saaaaana aliyechuchumaa ni Rashid Gumbo
 
Nilimsahau Kigi Makasi
 
..yes na huyo wa mwisho kulia kwa mrisho ngasa nadhani ni Ally Shamte wakati huo akicheza number 7
Ewaaaaaa nilichanganya na Mrisho Gumbo kipengere huyo aliyesimama nyuma ya Shamte sijui ni nani
 
....umejitahidi lakini Rashid Gumbo hayupo hapo pichani. Huyo wa kushoto kabisa walioinama ni Shamte Ally
 
Yes white ni Wisdom Ndlovu
 
Kipindi hicho nasikiliza kwa redio tuu.
 
Ally Shamte, Ngasa, Godfrey Bonny, Fred Mbuna, Nurdin Bakari, Ambani, Ndlovu, Abdi Kassim, Kaseja na Edwin Mukenya
 
Ambani bado ako hai
 
mmekutana wazee wa utopwinyo mnajibizana na kupeana mipasho ya hapa na pale safi sana!! ila kumbukeni mavi ya kale........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…