Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba.

Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzan
Hatushikiki Kiki
Hatukamatiki kiki
Watoto wa Dar
Watoto wa Msimbazi
Ita mashabiki kikiki
Umeanza mti tititi
Kuna kile kipande cha
Aaah we unamjua Simba mnyama
Sio huyu wa picha mnyama mnyama
Huyo ni wa Insta mnyama mnyama
Huyo utopolo mnyama
Nyama nyama
Nyama nyama
Kwa vikombe vingi mnyama mnyama
Anaopiga mwingi mnyama mnyama
Unyama ni mwingi unyama mnyama
Nasema unamjua Simba mnyama
Wa kimataifa mnyama mnyama
Mnyama nguvu moja mnyama mnyama
Anatupeperusha mnyama

Haka kanyimbo mandazi kabisa
 
Back
Top Bottom