Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
zilikua nini?Hazikua albastini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zilikua nini?Hazikua albastini
Karata za kutengeneza wenyewe kwa maboksi..zenyewe zinakua 16..nne zinachorwa labda nanasi..au mpira..yani kila nne zinakua na mchoro wakezilikua nini?
Na mkikubuhu hua hamshikikiMalezi tu yalinifanya vile ila nilikuja kuwa mjanja aliyekubuhu
Ha ha ha ile iko Muhimbili primary tu dunia nzima. Mpira wenyewe kitenesi! Golini kuna makipa kibao na hawazuii mpira usio wao. Sijui nani alianzisha ile kitu. Ukisikia usawa bin ujamaa kmia rasilimali ndio vile sasa.Hahahahahahahahhahhaaa I can see the way you were.....
Those were the days.
Hivi muhimbili shuleni walikuwa wanacheza komborela? Au ilikuwa mpira wa miguu tuu pale uwanjani?
Ila yale yalikuwa maajabu.... Yaani madarasa tofauti tofauti kila darasa na mpira wake wote wanacheza kwenye uwanja mmoja na hawachanganyani hata....
Ha ha ha ile iko Muhimbili primary tu dunia nzima. Mpira wenyewe kitenesi! Golini kuna makipa kibao na hawazuii mpira usio wao. Sijui nani alianzisha ile kitu. Ukisikia usawa bin ujamaa kmia rasilimali ndio vile sasa.
Labda mdakoHahahaahahahahahahahahaa nikiandika hapa nikichokiwaza na kikichonijia kichwani....
Ngoja tuu nikiandike, nimewaza kwa wakati huu jinsi mlivokuwa mnacheza muende saa hizi mcheze vilevile sijui mtaweza.... Hahahahahahaahahahha
Huu mchezo kuna siku nilisha wahi kuwekwa kati nilichezea kichapo heavy... Huu mchezo sitaki kabisa kuusikiaHahahaha..Mimi nilikuaga mtoto ilikua raha sababu tulikua tunapika kikwelikweli ..ilikua wakwanza kula ni mtoto basi full Raha
Nimecheka sanaa iasee, najaribu kuvuta picha jinsi huo mpira ulivyokuwa unachezwa nashindwa kuelewa kabisa. Kweli ya kale dhahabu.Ha ha ha ile iko Muhimbili primary tu dunia nzima. Mpira wenyewe kitenesi! Golini kuna makipa kibao na hawazuii mpira usio wao. Sijui nani alianzisha ile kitu. Ukisikia usawa bin ujamaa kmia rasilimali ndio vile sasa.