Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama jamaa alivyomchana hapo juu, huyo binti sasa ndio habari ya mjini kwa Gen Z wetu. Wanashinda kutwa nzima mitandaoni wakibishana kuwa huyo ni wa nchi gani? Wengine Botswana wengine Tanzania.Kama hunataarifa za kina ungekaa nayo huko
Moderator ondoeni upuuzi huu.
Mzee wa hovyoNaona mnakuza mambo bila sababuza msingi. Kwani kulima sio kazi? Mboja sisi wazee sura ngumu tunalima.na hamtujadili?
Karibu tulime Parachichi huku Njombe we jamaa.
Umekosa sana, umekosa sana. Umekosa wewe na unatakiwa utembee kwa miguu ukiwa pekupeku kama Nape kutuomba msamaha wana JF kutuletea habari za kumteta mtu saa 11 alfajiri.Watanzania mna ugonjwa. Afya ya akili Ni very serious problem.
Yani sielewi hayo mapovu mnayonitolea huko juu.
I kindly asked for credentials of this young lady as she has trended over the internet recently.
Nimekosea Nini!?
Mkuu Kama huna taarifa tulia...tusubiriUmekosa sana, umekosa sana. Umekosa wewe na unatakiwa utembee kwa miguu ukiwa pekupeku kama Nape kutuomba msamaha wana JF kutuletea habari za kumteta mtu saa 11 alfajiri.
Piga magoti utumbo msamaha kama Nape alivyoingia Ikulu kwa Magoti kuomba msamaha.
Tatizo blogs nyingi tofauti zinamtumia kutafuta followers inakuwa ngumu kujua exactly ni wa wapi, kama angekuwa Tanzania tungeshamuona somewhere akifanyiwa interview.Lakini anaonekana anajua Kiswahili.!?
Dah!!Ana nini cha ziada? Kupaka make up, kupiga picha shambani na kupost kwejye social media??
Nenda vijijini ukaone binti wa miaka 10, hana smartphone, hajui make up na anakulimia heka nzima peke yake.
Na jambo jema kwamba huyo binti anajituma badala ya kudanga ila hana cha ziada cha kusema watu watake kumjua. Huyo ni mfanyabiashara kama mtoto wa kike yeyote yule anaemiliki hata duka.
Hicho Kiswahili anachoandika ktk post zake anaandikiwa na Nani!?Tatizo blogs nyingi tofauti zinamtumia kutafuta followers inakuwa ngumu kujua exactly ni wa wapi, kama angekuwa Tanzania tungeshamuona somewhere akifanyiwa interview.