Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
JF siku hizi wajinga ni wengi kweli tuanze kumjadili mtu we maisha yake yatakusaidia nn.Yuko nchi gani!?
Uraia wake!?
Anafanya Nini!?
Anaongea lugha gani?
Ni kweli Ni mkulima?
View attachment 3087363
Karibuni.
JF hakipoi kitu. Najua Kuna watu Wana taarifa sahihi.