Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

Kama hunataarifa za kina ungekaa nayo huko
Moderator ondoeni upuuzi huu.
Kama jamaa alivyomchana hapo juu, huyo binti sasa ndio habari ya mjini kwa Gen Z wetu. Wanashinda kutwa nzima mitandaoni wakibishana kuwa huyo ni wa nchi gani? Wengine Botswana wengine Tanzania.

Vijana wanataka wapigane kwa ajili ya kutaka kujua ni wa nchi gani. Kwa kuwa ni mrembo, hawaamini kama.anafanya Kilimo.

Wanaamini sisi wakulima ninwatu tunaokosa hata mafuta ya kupaka kama alivyopaka huyo binti ndio maana wanashindana.

Inasikitisha sana.
 
Watanzania mna ugonjwa. Afya ya akili Ni very serious problem.
Yani sielewi hayo mapovu mnayonitolea huko juu.

I kindly asked for credentials of this young lady as she has trended over the internet recently.

Nimekosea Nini!?
 
Ana nini cha ziada? Kupaka make up, kupiga picha shambani na kupost kwenye social media??

Nenda vijijini ukaone binti wa miaka 10, hana smartphone, hajui make up na anakulimia heka nzima peke yake.

Ni jambo jema kwamba huyo binti anajituma badala ya kudanga ila hana cha ziada cha kusema watu watake kumjua. Huyo ni mfanyabiashara kama mtoto wa kike yeyote yule anaemiliki hata duka. Tofauti ni kuwa yeye kawekeza shambani (kama kweli ndie mmiliki/muwekazaji).
 
Watanzania mna ugonjwa. Afya ya akili Ni very serious problem.
Yani sielewi hayo mapovu mnayonitolea huko juu.

I kindly asked for credentials of this young lady as she has trended over the internet recently.

Nimekosea Nini!?
Umekosa sana, umekosa sana. Umekosa wewe na unatakiwa utembee kwa miguu ukiwa pekupeku kama Nape kutuomba msamaha wana JF kutuletea habari za kumteta mtu saa 11 alfajiri.

Piga magoti utumbo msamaha kama Nape alivyoingia Ikulu kwa Magoti kuomba msamaha.
 
Mkuu Kama huna taarifa tulia...tusubiri
 
Dah!!
 
Tatizo blogs nyingi tofauti zinamtumia kutafuta followers inakuwa ngumu kujua exactly ni wa wapi, kama angekuwa Tanzania tungeshamuona somewhere akifanyiwa interview.
Hicho Kiswahili anachoandika ktk post zake anaandikiwa na Nani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…