Wangapi wameshammiss Mshana Jr?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Uncle wetu huyu sielewi kaenda wapi tokea matokeo ya Uchaguzi yatuumize wapenda mabadiliko wengi sijamuona jukwaani.

Nia yangu ni kutaka kujua alipo namsihi sana aachane na watanzania masikini wameamua wenyewe kuendelea na CCM, basi hamna namna Mshana wewe una bahati sana kwa kuwa una uelewa mkubwa.

Endelea kutupa nondo zaidi na zaidi endelea kufanya mambo yako tuko pamoja.
 
Kwa hiyo ndugu ndege john, hulali kabisa kwa kummiss mzee mshana?
Mshana jr ndo member pekee ambaye niliamua siku moja kusoma nyuzi zake zote alizowahi kuanzisha na sikufanikiwa kuzimaliza,ndo mtu ambaye amewahi kunisaidia nje ya hapa jf,ndo mtu ambaye anaathiri maisha ya VIJANA Wengi hapa jf kama Kuna maada yake flani inasema mambo ambayo kijana unapaswa kufanya kabla hujatimiza miaka 30.mshana Ni akili kubwa
 


Mshana Jr
 
Mshana atakua porini akisaka mizizi mikali..siku akirudi mtaona anavyogonga watu vipapai...mmoja baada ya mwingine..Maana mmemkera sana.Ngoja arudi muone watu watakua wanadondoka tu..Nadhani ameanza kutest mitambo.
 
Atakuwa Ubalozi wa Ubelgiji anakunywa Pombe au kaenda kutuloga huko Sumbawanga
 
Mshana Jr kaji quarantine, muda wake wa kupumzika ukiisha mtamuona tena.
 
Ukumbuke wengi internet iliwafungia nje, nikiwemo na mimi
 
 
Mshana Jr The Great!! Brother njoo humu wewe ni Kichwa cha dhahabu..Siasa tuwachie waleee!! Siasa ni biashara ya watu. Hivi kuna mfanyabiashara atakubali apoteze mtaji akimvaamia hayupo ..Jua kuwa vyama vyote vinalinda mitaji yao...!!Survival for the fittest mkuu..hii theory ukiijua maisha yataenda tu..."Nchi hii "The fittest iwe kichawi ama kimtutu hajatokea ila atatokea kuzidu hawa ila sio leo ila iko siku.."!!!Wakulima tuendelee kulima wafanyabiashara pia waendeleeze biashara japo kwa maumivu tu..si Nature haijakubali kubadil?

Wenye kula mema ya kuforce ndy nyakat zao!!!wale wavimbiwe mpaka basi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…