ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Uncle wetu huyu sielewi kaenda wapi tokea matokeo ya Uchaguzi yatuumize wapenda mabadiliko wengi sijamuona jukwaani.
Nia yangu ni kutaka kujua alipo namsihi sana aachane na watanzania masikini wameamua wenyewe kuendelea na CCM, basi hamna namna Mshana wewe una bahati sana kwa kuwa una uelewa mkubwa.
Endelea kutupa nondo zaidi na zaidi endelea kufanya mambo yako tuko pamoja.