Wangapi wameshammiss Mshana Jr?

Mi nimemisi ulofa wake
 
Ooo I missed my single bullet...

Well Gamboshi Congress Is Busiest now....

Was Yesterday's Abood Bus Accident Their Work?!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mshana Jr Will Let us know...
Hapa nazungumzia Vikao vya watu wazito pale gamboshi shinyanga...

Bunge la 12 linaenda sambamba na bunge la 'vipogo' na 'walozi hasa kipindi cha mwisho wa mwaka.
 
Nahisi Mshana aliamini sana ushindi na kutangazwa kwa upinzani kuishika dola, kama ni hivyo basi hakika huko aliko anaumia sana. Tusiwekeze sana kwenye siasa, hasa kama hatuna maslahi ya moja kwa moja huko. Wanasiasa ni watu wabaya sana, wabaya mno, baadhi wapo tayari wewe UKUFE ili waingie mjengoni, pesa haijawahi kuwa na adabu.

Mshana Jr na Wangari Maathai ni notable absentees, huko walipo tunawaombea, na kama yupo aliyejiingiza/aliyeingizwa katika mikono ya hawa wanasiasa wauaji tuombe sana wasidhuriwe.
 
Na mie nammiss sana jamani

Wangari Maathai
Aah kwakweli, Nakumbuka last time alikuwa mbugani serengeti i think, toka hapo amekuwa kimya sanaaa...siku ukimuona amerudi anazagaa zagaa humu ebu unishtue.πŸ˜…


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Kwa Mshana Jr najua ni swala la muda tu, maumivu ya hila za uchaguzi yakiisha atarudi humu jamvini. Ila Wangari Maathai alianza kuadimika muda kidogo hata kabla ya kampeni kuisha, idk what happened to her 😀


Let's meet at the top, cheers 🍻

 
Yupo anapiga manyanga watu wameapishwa leo wameenda kwa mshana kujikinga.
 
VPN
 
Watu hupotea JF kwa sababu zao binafsi na hurejea kwa sababu zao binafsi...

Atarudi tu, when he wants to...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…