Wangapi wameshammiss Mshana Jr?

Wangapi wameshammiss Mshana Jr?

Uncle wetu huyu sielewi kaenda wapi tokea matokeo ya uchaguzi yatuumize wapenda mabadiliko wengi sijamuona jukwaani.

Nia yangu ni kutaka kujua alipo namsihi sana aachane na watanzania masikini wameamua wenyewe kuendelea na CCM, basi hamna namna Mshana wewe una bahati sana kwa kuwa una uelewa mkubwa.

Endelea kutupa nondo zaidi na zaidi endelea kufanya mambo yako tuko pamoja.
Mi nimemisi ulofa wake
 
Ooo I missed my single bullet...

Well Gamboshi Congress Is Busiest now....

Was Yesterday's Abood Bus Accident Their Work?!!!😂😂😂

Mshana Jr Will Let us know...
Hapa nazungumzia Vikao vya watu wazito pale gamboshi shinyanga...

Bunge la 12 linaenda sambamba na bunge la 'vipogo' na 'walozi hasa kipindi cha mwisho wa mwaka.
 
Nahisi Mshana aliamini sana ushindi na kutangazwa kwa upinzani kuishika dola, kama ni hivyo basi hakika huko aliko anaumia sana. Tusiwekeze sana kwenye siasa, hasa kama hatuna maslahi ya moja kwa moja huko. Wanasiasa ni watu wabaya sana, wabaya mno, baadhi wapo tayari wewe UKUFE ili waingie mjengoni, pesa haijawahi kuwa na adabu.

Mshana Jr na Wangari Maathai ni notable absentees, huko walipo tunawaombea, na kama yupo aliyejiingiza/aliyeingizwa katika mikono ya hawa wanasiasa wauaji tuombe sana wasidhuriwe.
 
Na mie nammiss sana jamani

Wangari Maathai
Aah kwakweli, Nakumbuka last time alikuwa mbugani serengeti i think, toka hapo amekuwa kimya sanaaa...siku ukimuona amerudi anazagaa zagaa humu ebu unishtue.😅

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Kwa Mshana Jr najua ni swala la muda tu, maumivu ya hila za uchaguzi yakiisha atarudi humu jamvini. Ila Wangari Maathai alianza kuadimika muda kidogo hata kabla ya kampeni kuisha, idk what happened to her 😤

Let's meet at the top, cheers 🍻

Nahisi Mshana aliamini sana ushindi na kutangazwa kwa upinzani kuishika dola, kama ni hivyo basi hakika huko aliko anaumia sana. Tusiwekeze sana kwenye siasa, hasa kama hatuna maslahi ya moja kwa moja huko. Wanasiasa ni watu wabaya sana, wabaya mno, baadhi wapo tayari wewe UKUFE ili waingie mjengoni, pesa haijawahi kuwa na adabu.

Mshana Jr na Wangari Maathai ni notable absentees, huko walipo tunawaombea, na kama yupo aliyejiingiza/aliyeingizwa katika mikono ya hawa wanasiasa wauaji tuombe sana wasidhuriwe.
 
Yupo anapiga manyanga watu wameapishwa leo wameenda kwa mshana kujikinga.
 
Uncle wetu huyu sielewi kaenda wapi tokea matokeo ya Uchaguzi yatuumize wapenda mabadiliko wengi sijamuona jukwaani.

Nia yangu ni kutaka kujua alipo namsihi sana aachane na watanzania masikini wameamua wenyewe kuendelea na CCM, basi hamna namna Mshana wewe una bahati sana kwa kuwa una uelewa mkubwa.

Endelea kutupa nondo zaidi na zaidi endelea kufanya mambo yako tuko pamoja.
VPN
 
Watu hupotea JF kwa sababu zao binafsi na hurejea kwa sababu zao binafsi...

Atarudi tu, when he wants to...
 
Back
Top Bottom