Wangapi wameshammiss Mshana Jr?

Kaenda kuyatupa matunguli yake
 
Sitasahau ulivyozushiwa kifo pindi flani
Yeah, something like that bro!

Na bahati mbaya hata hizo habari sikuzisoma, nilikuja ona tu watu wakishangaa kuniona tena hapa...
 
Haaa
Huyu mtafuta Kiki mbona yupo humu tu, amekaa kimya makusudi ili watu wamtafute pamoja na kutafuta umaarufu. Ndo zake huyu
 
Dah...Prof Mshana jr aliahidiwa uwaziri wa utamaduni na TL...akanunua suti 15 kwa mkopo... sasa hivi amedata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Mzee mshan kapotea San baad y uchaguz ila msihof yup msitun anatafut miziz grade 1 na akilud mtajua t, maan hatujaokot mizog kipind ch coron ila akikud huy mkuu tutaokot san mizog ya waliohujum uchaguz
 
Nahisi Mshana atakuwa kapata tenda ya kuwapigia manyanga wale wabunge wanaoutaka uwaziri so kazi inaendelea huko nadhani baada ua baraza kutangazwa basi atarudi hapa.
 
πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…