Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 174
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!
Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!