Wangapi wanafanya hivi?

Wangapi wanafanya hivi?

Twande

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
543
Reaction score
174
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!

Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!
 
hahaha, weye una akili sana. umenivunja mbavu. itabidi nifanye hiyo danganya toto.lol
 
Ha ha ha,
Siku hizi naona waloadvance waanza kulaza watoto kwenye chumba tofauti na wazazi akiwa na mwaka mmoja.

Ila vitanda viwili mpango mzima.
 
@Tychicus do it before its too late!
 
Mnadanganya watoto matokeo yake wanafundishwa zaidi ya wanavyohitaji mtaani.

Kufanya hivyo haumsaidii mtoto wako ila.unamjengea nafasi kubwa zaidi ya kudanganywa huko mitaani.
 
Kulala pamoja kwanza kiafya is not recommended.
 
Kongosho kulala tofauti yes tunafanya hivo but mi wanangu wamekuwa saiv wana 5 na 8 mdogo mdadisi sana na mkubwa she is a silent observer! Huu udadisi wanaupata ktk age hizi saiv si wanaingia chumbani?

Ukiacha wakiwa wadogo! Huko kwenye udogo Mungu alifanya jambo jingine tofauti! Hakuna mtu anakumbuka kitu at that age so memory zotevzinakuwa deleted! But hii iam telling you wanakuwa nayo! Kama mama wa vibinti vyangu hivyo nafikiria nifanye sasa kama sijachelewa? Pengine mpka hapa bado hawatakumbuka kitu!
 
Possibly ulikuwa Kilaza udogoni!:alien:
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!

Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!
 
lizzy usichanganye mada watoto tunawafundisha siku izi sawa mapema! Sasa ndo wajue mnasex mnalala pamoja?

Hiyo mnayoongelea kulala pamoja ni mke na mume au kulala na mtoto. . Guys msichanganye mambo hapa halafu if you are talking kulala tofauti mumevna mke hiyo ni mada nyingine tena yani mume na mke manalala tofauti! I heard of these issue aisee mi lazima nilale nimepakatwa. . Nini maana ya ndoa sasa. .Lol
 
Watoto wa siku hizi wanazaliwa wanajua. Waache wakiuliza maswali uwajibu kwa ufasaha, uwaelezee na madhara ya kila kitu. Bible inasema 'mlee mtoto katika njia IMPASAYO (sio kumdanganya), nae hataiacha hata atakapokuwa mzee'
 
Mjanga umejuaje? Nashukuru kama ilikuwa ni ukilaza mana idea ya wazazi wangu kwamba they ar sleeping and doing whatever sikuihitaji at that age. . We uliyejua mapemavpossibly ulizalishwa au kuzalisha vitoto vya watu before hata std 7. . hata kama mjanga. .Ndaga unaielewa. .
 
King'asti. . Wakiuliza sawa hamna aliyesema muwadanganye. . Ila acha mambo yaje kama yalivo. . Ikifika wakati wa kuuliza aulize na ajibiwe. . Nasimamia kupenda that style nyie teteeni na sita kwa sita zenu zilizojaa chumba kizima. .
 
lizzy usichanganye mada watoto tunawafundisha siku izi sawa mapema! Sasa ndo wajue mnasex mnalala pamoja?

Hiyo mnayoongelea kulala pamoja ni mke na mume au kulala na mtoto. . Guys msichanganye mambo hapa halafu if you are talking kulala tofauti mumevna mke hiyo ni mada nyingine tena yani mume na mke manalala tofauti! I heard of these issue aisee mi lazima nilale nimepakatwa. . Nini maana ya ndoa sasa. .Lol

Sasa mnapoweka vitanda tofauti mnawadanganya nini? Kwamba hamlali pamoja au hamfanyi mapenzi?
 
Wakuu mimi napita tu hapa_maake mimi mshua alikua mkali kinoma kugusa maeneo ya room kwake.
 
Igwe hiyo nayo mtu akiweza nzuri. . But my take ni kuwa hizo mara chache alizoingia akilini mwake itakaa in that bedroom there is one bed!.
 
But nimesahau hili tulipokuwa mother akajichokea chake kikawa kinawekwa vitu tu it was now obvious that only one bed is being used lol. .
 
Back
Top Bottom