Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!
Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!
Mnadanganya watoto matokeo yake wanafundishwa zaidi ya wanavyohitaji mtaani.
Kufanya hivyo haumsaidii mtoto wako ila.unamjengea nafasi kubwa zaidi ya kudanganywa huko mitaani.
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!
Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!
@Tychicus do it before its too late!
Kulala pamoja kwanza kiafya is not recommended.

lizzy usichanganye mada watoto tunawafundisha siku izi sawa mapema! Sasa ndo wajue mnasex mnalala pamoja?
Hiyo mnayoongelea kulala pamoja ni mke na mume au kulala na mtoto. . Guys msichanganye mambo hapa halafu if you are talking kulala tofauti mumevna mke hiyo ni mada nyingine tena yani mume na mke manalala tofauti! I heard of these issue aisee mi lazima nilale nimepakatwa. . Nini maana ya ndoa sasa. .Lol