afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
- Thread starter
- #181
hamna kitu mke mmoja mume mmoja watu wanazuga tu! labda iwe hivi, mke au mume mmoja wa ndoa na wake wasio na idadi nje ya ndoa kwa upande wa wanaume! kwa wanawake most of them wanakuwa decent sana unless wakiwa frustrated na waume zao au awe mfanya biashara ya kuuza ile kifaa ya ndoa! otherwise mwanaume akiwa hivyo heri kila mmoja achukue 50 zake akaanze life upya. au tuishi tu lakini no uhusiano wa ki-ndoa
haya mkuu
kila opinion hapa ni muhimu asante sana