passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Namuunga mkono,tustuke jamani maana kasi ya kumuangusha mwanaume imekuwa kubwa mno na sisi wenyewe tunaisapoti bila kujuaNaunga mkono hoja, tunakoelekea kutakuwa na gap kubwa sana kati ya ke na me kwa namna upande mmoja unavyopewa thamani na kipaumbele kuzidi mwingine.
Kabisa kuna mtu aliwahi kuniambia kwa namna sapoti kubwa inavyoelekezwa kwa wanawake kwenye mambo mengi kwenye jamii ni ishara ya wazi baada ya miaka michache watatuacha mbali sana kwenye mambo mengi. Naanza kulishuhudia hilo.Namuunga mkono,tustuke jamani maana kasi ya kumuangusha mwanaume imekuwa kubwa mno na sisi wenyewe tunaisapoti bila kujua
Silipendi sana hili suala,tukomaeni kulipunguza,na tuanzishe ajenda kubwa kuwasimamisha wanaume imara.Kabisa kuna mtu aliwahi kuniambia kwa namna sapoti kubwa inavyoelekezwa kwa wanawake kwenye mambo mengi kwenye jamii ni ishara ya wazi baada ya miaka michache watatuacha mbali sana kwenye mambo mengi. Naanza kulishuhudia hilo.
Hakika mkuuSilipendi sana hili suala,tukomaeni kulipunguza,na tuanzishe ajenda kubwa kuwasimamisha wanaume imara.
Wanaume tumekubali kuingia kwenye mfumo wakuharibu familia.Hizo porojo za 50/50 lengo lake liko mbali sana nawala sio upendo kwa wanawake kama tunavyojifariji.Tumekubali kupoteza heshima yetu kama kichwa.Tupo tupo tu kama mazezeta.Miaka ijayo tutegemee kizazi cha ovyo kupindukia.Kwasababu mwisho wake ni wanawake watapoteza na wanaume watapoteza na jamii itakua mfu.Namuunga mkono,tustuke jamani maana kasi ya kumuangusha mwanaume imekuwa kubwa mno na sisi wenyewe tunaisapoti bila kujua
Watoto wa kiume kutwa kukatikakatika maunoNamuunga mkono,tustuke jamani maana kasi ya kumuangusha mwanaume imekuwa kubwa mno na sisi wenyewe tunaisapoti bila kujua
Hii harakati tuianzishe na kuisimamia,wanaume tusiwe mabolizozoWanaume tumekubali kuingia kwenye mfumo wakuharibu familia.Hizo porojo za 50/50 lengo lake liko mbali sana nawala sio upendo kwa wanawake kama tunavyojifariji.Tumekubali kupoteza heshima yetu kama kichwa.Tupo tupo tu kama mazezeta.Miaka ijayo tutegemee kizazi cha ovyo kupindukia.Kwasababu mwisho wake ni wanawake watapoteza na wanaume watapoteza na jamii itakua mfu.
Ndio tuamke mzee,mtoto wa kiume awe na heshma yakeWatoto wa kiume kutwa kukatikakatika mauno
Wanacheza singeli sjui amapiano
Watoto wa kiume wanavaa vipuli
Puani mguuni vikuku 😄
Lazima waliweee sana
Ova
Mkuu 92,tulichochelewa kujua ni kwamba kwenye haya mambo ya haki sawa lengo ni ndoa za jinsia moja tu hakuna lingine....... na wanajua afrika tukipokea jambo lazima tuharibikiwe ndio haya ya sasa kusagana ushoga na mengineyo...
jamii ikishaharibika kuanzia ngazi ya familia wazungu wanajichotea mali kwakua hakuna mwenye utashi wa kuongoza