Wangoni na majina ya wanyama

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Habari manguli wa historia,

Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika.

Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila wenzao.

Ni lini na kwa nini waliamua kutumia majina ya wanyama kama Komba, Ngonyani etc

Kwa nini walikwepa majina ya kwao?

Asanteni kwa ufafanuzi
 
Itakuwa walikuta majina yote yamechukuliwa.

Hivi na wazaramo ilikuwaje nao wakachelewa kuchukua majina, mpaka waitame, shida, chuki, tabu, mwanamosi, bi hewa, masumbuko etc.
 
Bora hao wasukuma nao ni shida.
Utakuta mtu anaitwa maharage
Hapana mkuu wasukuma watoe hapo, katika makabila ambayo naona yanaongoza kwa majina mazuri ya asili nchini ni wasukuma, hawa wenye majina mabaya ni wachache sana, yani wasukuma hata majina ya maeneo yao tu ni mazuri, mfano majina ya maeneo ya usukumani niliyoyapenda ni Rwamgasa, Lwenzera, Runzewe, Ushirombo, Lulegeya, Izumacheli, nk
 
Mashimba
Mapole
Kasubi
Makoro
Mang'ombe
Mayala
Nyanzara
Mayeji
Mpejiwa
Mayila
Masangwa
Mabula
Kabula
Mabiti
Mpelwa
Mpela
Mvanga
Lutambi
Matogoro
Chananja
Mongo
Malongo
Nyanzobe
Ndulu
Nshili
Matunge
Manoni
Sayayi
Manumbu
Lugalata
Hayo ndiyo majina ya wasukuma na mengine mengi
 
Badala uulize mtu anaitwa Kapombe unakuja kushangaa Wangoni.
 
Malendeja
 
Majina ya kwao ndo yepi?
 
Kila mtu anaona majina ya kwao ndo mazuri
 
Kila mtu anaona majina ya kwao ndo mazuri
Mimi siyo mtu wa kanda ya ziwa, ukisema ukisie kabila langu kwa kuangalia namna ninavyosifia makabila humu basi utajichanganya, maana huwa nasifia makabila mengi katika nyanja tofautitofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…