Wangui na Wambui (murder probe)


Hivi Mtanzania unapata wapi ujasiri wa kutuhumu Kenya ilhali tunasoma mambo ya kiajabu ajabu ambayo hutendeka kwenu, leo hii Tundu Lissu ameogopa kurudi kwenye nchi ya mama na babake, alifukuzwa kwa risasi 38, umeskia kitu kama hicho wapi duaniani, bilionea anatekwa na kurudishwa kwa mazingira yaliyoashiria movie, kutoweka kwa Ben Saanane, miili kuopolewa ikiwa imesindikwa kwenye mifuko yaani orodha ni ndefu ya matukio yenu.
 
Sijui wakikuyu walikufanyia nini na wewe ni mtanzania.
Anyway, did you have to generalize? You want us to believe that every Kikuyu woman is diabolical coz mmoja ametekeleza mauaji? Discard that medieval brain and purchase another one!
Sijasema wote.
Tukisema Watanzania wanaongea Kiswahili kizuri kuliko wakenya haimaanishi wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan alivyo mpea nyama kumbe ndivyo hivyo wana share liboro fc la kori
 
Hapo ni wao kwa wao,Unaambiwa hata huyu mary kabla hajawa promoted kuwa wife nae pia alikuwaga mpango wa kando. Mke wa kwanza ni Grace. Joseph Kori alimuacha Grace for Mary. Malipo ni hapa hapa duniani.
Year you delve deeper .... Dikujua kama marry alikuwa ni kimada awali ...ila inaonekana marry alimpenda sana judy (alikuwa shoga yake) so probably alikuwa aki share nae story za mahusiano yake na kori then quickly judy jump into kori"s empire for the sake of earning cash ila ss unajua liboro fc huwa linawachanganya sana wadada na fikiri alitaka asajiliwe yy moja kwa moja liboro fc
 
Ndio nimeangalia video pale YouTube Leo. Kwa kweli inahuzunisha. Judy ni ibilisi.
Damu ya yuda iscariota imo mishipani.Si kwa usaliti huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…