MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nakubali hali hii ipo Tanzania na inatokana na imani binafsi za watu wachache ambao kadri siku zinavyoenda tunadhibiti hali hiyo. Lakini Kenya is horror country kwanini nasema hivyo ninyi mnatagert intellectuals see Carolina, Onjiwa, Msando wa tume ya uchaguze mwanatechnologia aliyekuwa potential ya nchi n. k hata nikitaja siwamalizi mna roho mbaya sana wakati wa mauwaji, wakati mwingine mnatesa hao watu kwa kuwachoma mikuki midomoni, au kuwanyonga sasa hii ni nchi ya demokrasia kweli? Sisi walimteka Moo lakini wao wenyewe watekaji wakaona huruma wakamrejesha wangeweza wakamuua lakini wakagundua umuhimu wake ishaalah wakamwachia, lakini Kenya akishatoweka ujue mtaokota maiti. Acheni roho mbaya, Jengeni democrasia ya kukosolewa basi?
Hivi Mtanzania unapata wapi ujasiri wa kutuhumu Kenya ilhali tunasoma mambo ya kiajabu ajabu ambayo hutendeka kwenu, leo hii Tundu Lissu ameogopa kurudi kwenye nchi ya mama na babake, alifukuzwa kwa risasi 38, umeskia kitu kama hicho wapi duaniani, bilionea anatekwa na kurudishwa kwa mazingira yaliyoashiria movie, kutoweka kwa Ben Saanane, miili kuopolewa ikiwa imesindikwa kwenye mifuko yaani orodha ni ndefu ya matukio yenu.