Katiba mbovu ndio maana kitu kidogo kama hiki IGP anakuwa offended, kuhamishwa kwa huyu jamaa ni kwa interest ya IGP sio wananchi au serikali kwa ujumla, viongozi wa Tanzania wanajiona miungu mtu wanaweza kufanya chochote feelings zao zikiumizwa