Katiba mbovu ndio maana kitu kidogo kama hiki IGP anakuwa offended, kuhamishwa kwa huyu jamaa ni kwa interest ya IGP sio wananchi au serikali kwa ujumla, viongozi wa Tanzania wanajiona miungu mtu wanaweza kufanya chochote feelings zao zikiumizwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inahusikaje hapo mweeeeKatiba mbovu ndio maana kitu kidogo kama hiki IGP anakuwa offended, kuhamishwa kwa huyu jamaa ni kwa interest ya IGP sio wananchi au serikali kwa ujumla, viongozi wa Tanzania wanajiona miungu mtu wanaweza kufanya chochote feelings zao zikiumizwa
Ni vita ya madaraka kati yake na kaka yake - actually uwezo wake ni wa kawaida sana. Hakupaswa kutamka hayoAnajipigia debe
Ujue simba wala fisi,chui hawapo!Ukiona swala anaringa mbugani
In magu voiceI wish I could be IGP.![emoji276]