McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewakamata washukiwa wanne wa uhalifu wa mtandaoni wanaodaiwa kujifanya Binti wa Rais, Natasha Karugire, kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwalaghai wananchi.
Washukiwa hao, waliokamatwa kupitia operesheni ya pamoja ya JATT, CID na Idara ya Ujasusi wa Uhalifu, walifungua akaunti bandia za TikTok na WhatsApp zenye jina na picha ya Natasha, wakidai kutoa misaada ya kifedha na kuomba fedha za usajili na uchakataji.
Msemaji wa Polisi, Rusoke Kituuma, alisema washukiwa hao ambao ni Allan Isabirye, Rahman Mulondo, Zubair Kakaire na Sharif Egesa watafikishwa mahakamani kwa makosa ya udanganyifu wa mtandaoni na kujitambulisha kwa jina la mtu mwingine kinyume cha sheria.
Aliongeza kuwa uchunguzi ulianza baada ya Natasha Karugire kuwasilisha malalamiko rasmi, huku polisi wakibaini washukiwa wakiwa na simu na laini nyingi zilizotumika kutekeleza uhalifu huo.
==================================
Uganda's security agencies have arrested four suspected cyber fraudsters accused of impersonating First Daughter Natasha Karugire on social media platforms to defraud unsuspecting members of the public.
The suspects were picked up during a joint intelligence-led operation involving the Joint Anti-Terrorism Task Force (JATT), the Criminal Investigations Directorate (CID), and Crime Intelligence, targeting organised cybercrime syndicates exploiting digital platforms.
Police said the suspects created fake TikTok and WhatsApp accounts bearing Ms Karugire's name and image, through which they solicited money from victims under the guise of offering financial assistance and other favours
Addressing journalists on Monday, Police spokesperson Mr Rusoke Kituuma identified the suspects as Allan Isabirye, Rahman Mulondo, Zubair Kakaire, and Sharif Egesa.
"The four suspects were arrested for impersonating Natasha Karugire, the First Daughter of H.E. the President, on social media platforms. They will soon be arraigned in court to answer charges of cyber fraud and impersonation under the Computer Misuse Act and the Penal Code," Mr Kituuma said.
Source: Daily Monitor