Wanssheria inakuwaje iwapo mahakama za chini zikaacha kufuata miongozo iliyowekwa na mahakama ya rufani?

Wanssheria inakuwaje iwapo mahakama za chini zikaacha kufuata miongozo iliyowekwa na mahakama ya rufani?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari za muda huu wanajamvi.

Hili swali linanisumbua sana naomba ufafanuzi wa kisheria pale mahakama za chini zikikaidi kufuata miongozo iliyowekwa na mahakama ya rufani katika kesi mbalimbali.
 
Mods kichwa cha habari rekebisheni neno wanasheria lisomeke kikamilifu.
 
Back
Top Bottom