Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani.
➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao
➡️Kwa kupachika watu kesi haramu za uongo kutokana na ugomvi binafsi ili wakiulizwa waseme huyu ni mpinzani wa Rais.
➡️Kulipwa fedha za kukaa na kupanga mipango haramu.
➡️Saddists kufurahia watanzania wenzao wakiwa katika Mateso.
➡️Kupenyeza agenda zao za kuhuujumu taifa kwa kuongeza restrictions za usambazaji na upashanaji habari za kitaifa.
➡️Wezi waliokuwa hawapendi mipango yao kuvuja kwenye public.
➡️Uvccm waliokuwa wakilipwa kwa kupayuka, kutukana na kuchochea uhasama kwenye jamii.
Sasa Mh Rais na Mh Mbowe wamewapiga chenga.
Mh Rais Samia amesema tafuteni kazi nyingine kwake hakuna nafasi tena ya kuchochea migogoro. Wanazi wa ccm huko mmesikia ujumbe wenu??
Rais Dr Samia anaelekeza nguvu na Rasilimali za Taifa kwenye kuwaletea maendeleo tu.
Viva Samia viva Mbowe.
KATIBA MPYA NDIO SASA.