Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

Njaa inaanza mwezi huu, Bei za vyakula zitapanda maradufu zaidi ya 2022.

Baada ya ukame mkubwa kuikumba Nchi 2022, Ukame Ule ulipelekea Mto Ruaha mkuu kukauka,

Ghafula,tuliupata neema na mvua ikaanza kunyesha, makosa yalifanyika kuruhusu chakula kwenda nje ya nchi.

Mwana wa Mungu mwaka huu usikosee tena, Tunza akiba, unakuja ukame na njaa Kali Kwa kipindi kirefu,

Tunza chakula narudia. Nunua tunza chakula.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Waziri BASHE ungejiuzulu Ili kumpisha mwingine aje na Utaratibu mzuri wa kusimamia WANUNUZI Kutoka nje maana mwanzo uliruhusu waingie Hadi mashambani kuvuruga demand and supply chain.
Bashiru si aliwaambia njaa siku zote ,hudhalilisha taifa ..rais akakaza fuvu kiko wapi
 
Bashiru si aliwaambia njaa siku zote ,hudhalilisha taifa ..rais akakaza fuvu kiko wapi
Inakuja njaa Kali sana kuanzia mwezi huu na kuendelea,

Mwana wa Mungu kama una akiba, ibadilishe Kwa kununua mazao ya vyakula,tunza ndani au ghalani maana pesa haitasaidia sababu inflation itakuwa zaidi ya 2022.

Amen
 
Ndugu ili pesa Yako iwe na dhamani usiruhusu nchini kwako matumizi ya pesa za kigeni wageni waje na pesa zao lakini wakitaka kufanya malipo wanunuwe kwanza pesa zetu au walipe Kodi kwa pesa zetu na sisi TU export raw materials nje hapo ndipo pesa yako na uchumi wako unakuwa na kikubwa zaidi kinachokuza ni kupunguza Kodi wawekezaji wataweka mitaji mikubwa kwetu
Wazo zuri. Kama tunaexport chakula basi kinunuliwe kwa dola.
 
Kwani ni lazima tuexport raw materials?

Huko masokoni tunao uwezo wa kukoboa Mahindi ,Mchele nk nk na kupack mazao ya wakulima na kuexport nje ya nchi kupata pesa za kigeni kupitia viwanda vidogo vidogo.

Si sawa wageni kuingia mashambani kuwapiga wakulima.

Wakulima wetu wajengewe uwezo.
 
Ndiyo, wanatakiwa kuja na dola. Hapa wapewe madafu ndiyo wayatumie kununulia bidhaa. Hatutaki Ksh. Wakishindwa waje na Euro
 
Hoja yangu kuwa waje na dola lakini hasiruhusiwe kutumia Dola abadilishe Dola ananuliye tshs
 
Yaani mnafikiri eti ni nyie tu Mnao hati miliki ya kuzalisha mazao / nafaka ya biashara ulimwengu huu wooote eehe?,
Haiya basi chungeni msije k m mkawatafuta wanunuzi wa nafaka na mazao yenyu Kwa kutumia kurunzi mvunguni.
Kama tu Russia anavyohaha kutoa nafaka na mafuta Kwa bei ya Chee pamoja na kugharamikia usafirishwaji juu yake .

Punguaniz detected!😆
 
S Stuka,

Main aim ni Nchi inunue chakula Kutoka wakulima Kwa Bei nzuri,

Chakula kitunzwe ghalani , Nchi ijitosheleze Kwa chakula maana njaa Kali Iko mlangoni inabisha HODI!!!
 
M
S
Stuka,

Main aim ni Nchi inunue chakula Kutoka wakulima Kwa Bei nzuri,

Chakula kitunzwe ghalani , Nchi ijitosheleze Kwa chakula maana njaa Kali Iko mlangoni inabisha HODI!!!
Mie siyo mtz bana ,pole 😆naitetea nchi yangu.
Muambaa ngoma huivutia kwake.
Kelb wahed.
 
Kuadimika Kwa dollar kunaenda leta inflation kubwa masokoni,

Nakusihi mwana wa Mungu, tumia akiba kupata akiba ya CHAKULA, Bei zitapanda sana, sh itashuka thamani.

Tafadhali🙏🙏
 
M

Mie siyo mtz bana ,pole 😆naitetea nchi yangu.
Muambaa ngoma huivutia kwake.
Kelb wahed.
Sasa kama mnapanga maandamano muda wa kwenda shambani mnategemea nini?

Karibuni ktk maghala ya Serikali mkiwa na dollars na Export permit tufanye biashara Nchi na Nchi!!!

Karibu🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…