sawe6
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 558
- 367
Mbeya wana hofu sana na shetani' Mungu ni baba yao wanampenda na kumwabudu sana!
kabisaaaaa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya wana hofu sana na shetani' Mungu ni baba yao wanampenda na kumwabudu sana!
Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.
Ngoja tu nikusaidie kukutajia makabila ya Mbeya:
walambya na Wandali- Wilaya ya Ileje
Wasafwa, wamalila- Mbeya mjini na vijijini
Wawanji na wasangu- wilaya ya Mbarari
wanyiha na wanyamwanga- Wilaya ya Mbozi na Momba
wanyakyusa- wilaya ya rungwe na Kyela
Wanyasa- Kyela
waguruka, wabungu, wasongwe, wakimbu- wilaya ya chunya.
Pia kuna makabila ya wahamiaji kama wamang'ati, na wasukuma (wanyantuzu) hasa kwenye wilaya za chunya na mbarari. Pamoja na makabila kutoka Iringa, Njombe, Ruvuma na Rukwa.
Ila Wanyakyusa kwa unafiki mmezidi aiseeOngelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.