Wanyakyusa bwana kila mmoja anajiita mchungaji

Wanyakyusa bwana kila mmoja anajiita mchungaji

Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.

Mbona wale wachuna ngozi majina yao yanaazia na Mwa...?
 
Ngoja tu nikusaidie kukutajia makabila ya Mbeya:

walambya na Wandali- Wilaya ya Ileje

Wasafwa, wamalila- Mbeya mjini na vijijini

Wawanji na wasangu- wilaya ya Mbarari

wanyiha na wanyamwanga- Wilaya ya Mbozi na Momba

wanyakyusa- wilaya ya rungwe na Kyela

Wanyasa- Kyela

waguruka, wabungu, wasongwe, wakimbu- wilaya ya chunya.

Pia kuna makabila ya wahamiaji kama wamang'ati, na wasukuma (wanyantuzu) hasa kwenye wilaya za chunya na mbarari. Pamoja na makabila kutoka Iringa, Njombe, Ruvuma na Rukwa.

Asante sn tena umenikumbusha wasukuma wapo sana ubaruku ngwana wame, hawajamaa wanapatikana nchi nzima. Kuna Wachaga pia wanakuja kwa kasi koa wa Mbeya. Ila % kubwa ya Wanyaki wapo Rungwe na Kyela but angalia matukio hua yanatokea wilaya ipi. So mtoa mada unaonekana huna uelewa wa kutosha kuhusu Mbeya aidha umehadithiwa au unasikia
 
Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.
Ila Wanyakyusa kwa unafiki mmezidi aisee
 
Back
Top Bottom