Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

Status
Not open for further replies.
Siwezi kushangaa km wewe na mama zenu mpo sawa...mama zenu na dada zenu nami nimechakaza sana...wanaomba mbegu ..Wengine walikuwa ni vitu vya ajabu sana..wengine wanasema siku nimechapa moto next day wakasema ndio kwa mara ya kwanza ktk miaka wamepata bleed, wengine waliiba condom ili wakajiwekee mbegu...ni drama..in deed..Sashangai na wewe ukidhani kuwa na demu wa kichaga kuna kufanya mtu zaidi....baba zenu wamenunua ukoo kule hakuan mfano..walijidanganya km wewe..

Mkuu unajua mimi nimeunganisha haya makabila mawili....halafu mimi mwenyewe ni muunganiko wa Kilimanjaro na Kagera.....wala ndizi tunatakiwa kuwa tunaelewana arifuu......
 
Mbeya ni ki-mji kidogo sana na watu wa huko hupenda kujisifu pasipo sababu

inaelekea hata shule hujaenda, mbeya ni kimji kdogo? bas muulize hata mtoto wa chekechea akufundshe geograph... acha watu wenye uwezo wajisifu, kujiona mnyonge ndo kunafanya watu mshndwe kujieleza uwezo wenu
 
duuh kumbe wanyakyusa wazee wa kupulizia eeh mi nilikuwa na-date na mnyakyusa ila itabidi nilale jicho moja maana mmeshani-alert kuhusu hizo ishu zao za Uchawi uchawi sasa ndo Napata picha kuna siku kaja kulala kwangu asubuhi kakusanya chupi zangu kama 3 hivi kaweka kwenye pochi anataka kuondoka nazo namuuliza vp mbona unaondoka na chup zangu anadai ooh naenda kuziweka home. Sasa leo ndo nimepata jibu kamili

Wanaume siku hizi tunavaa BOXER,pia uwe unafua hiyo michupi yako uenda alizibeba ili akazifue baada ya kuona ZINANUKA.Uache uchafu jamaa angu.
 
Wachaga acheni ujinga wa kuleta ukabila nyie siyo bora kuliko makabila mengine!
Sasa mmewapa wazungu gesi ya bure kwa tamaa na laana za waswahili.Akili za kuacha fanya kazi na kupambana ,mkimalizia kila kitu kupambana wachaga kila mahali ni laana ya hii nchi.Tunatafuta hela zetu,endeleeni kula sherhe ktk serikali ya kibaguzi na kidini,kikabila,hila dhidi ya kabila moja ya CCM.Hamtokaa muondoke hapo bila wachaga na wakaskazini wengine kenge nyie.Mtakwapua kila kitu ila finally mtaongoza ktk list ya wanaolalama kwa wachaga.Hamna tofauti na mataifa ia kigaidi yanayolalamikia wengine dhiki zao.5 yrs to come tutajipambanua tena wajerumani,baada ya vita za dunia
 
Sasa mmewapa wazungu gesi ya bure kwa tamaa na laana za waswahili.Akili za kuacha fanya kazi na kupambana ,mkimalizia kila kitu kupambana wachaga kila mahali ni laana ya hii nchi.Tunatafuta hela zetu,endeleeni kula sherhe ktk serikali ya kibaguzi na kidini,kikabila,hila dhidi ya kabila moja ya CCM.Hamtokaa muondoke hapo bila wachaga na wakaskazini wengine kenge nyie.Mtakwapua kila kitu ila finally mtaongoza ktk list ya wanaolalama kwa wachaga.Hamna tofauti na mataifa ia kigaidi yanayolalamikia wengine dhiki zao.5 yrs to come tutajipambanua tena wajerumani,baada ya vita za dunia

Pumbavu tu huna akili!wala hamna lolote nyie nawajua sana,hata wewe hunizidi chochote kuanzia Elimu hata pesa sidhani kama unanizidi labda matusi na kudhani wewe ni bora kuliko makabila mengine eti kwakuwa ni mchaga,nonsense, I will never argue with you any more this is the last time for me to answer your rubbish.I have come to the conclusion that you are just posting bunches of garbage.
 
Wewe hukua na moyo wa biashara umefulia huko unasingizia uchawi,kwa mtu makini na biashara sbabu kama hiyo haiingii akilini na kufunga biashara,au wemwenyewe ni mchawi wa biashara yako, unaruhusu fikra kama hiyo ikutawale na baadae ukakata tamaaa kabisa, hakuna uchawi kizazi iki cha nne,pambana na adui fikra kwanza ndoo adui ako wewe achana na madhana wameniroga mbeya freshi kabisa wenzio tumethubutu na tuna songa mbele we endelea kuona wachawi wakati wenzako tunapiga hela na
 
nilipofunga ofis ni mbeya mjini tu (Stendi kuu & Mwanjelwa) hapa TUNDUMA tunazid kupambana kichawi WAKIMWAGA UGALI, mi NAMWAGA MBOGA, tunaenda sawa
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.

wewe acha uchizi Mbeya mbona wageni wengi sana wamefanikiwa? Uchumi wa Mbeya umeshikwa na Wakinga toka Iringa, Ufugaji wapo wasukuma kule usangu, Kilimo wapo wachaga wengi sana Tukuyu. Wewe unaongelea nini? Hata mbunge wa Mbeya sio Mnyakyusa ni mkinga. Pia nani amekuambia Mbeya ni wanyakyusa tu wapo pale? Mbeya kuna Wanyakyusa, Wasafwa, Wamalila, Wanyamwanga, Wandali, Wabungu, Wanyiha, n.k. Fanya kazi kwa bidii acha visingizio
 
kumbe Mbeya si salama kwa wageni eeh! aise punguzen hiyo mambo aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom