Mwanjelwa na stendi kuu ndo kuna vigagula sana ofisi ya tunduma bado inapiga kazi pengine ni kwa sababu nimepata dawa toka kwa mganga wa SUMBAWANGA so inawafanya wasiniharibie biashara
wewe wichala hehe kumuji wa Mbeya? Ndakugomba chane ngomba nguhe ubhulozi bwanje!