M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #21
Mbeya si salama tena kwa mwekezaji toka Mbali (with exception of Sumbawanga, Iringa & Songea residents/natives)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa Wanyakyusa hawalogi mtu wa kwao hata kidogo tabu ipo kwa watoka mbali utapigwa JUJU mpaka ujte kuwekeza mbeya yaani wanataka wawe wao tu kila kitu. Yaani hii mijamaa ya ajabu haswaaaaaaa!!!
Mbeya si salama tena kwa mwekezaji toka Mbali (with exception of Sumbawanga, Iringa & Songea residents/natives)
!
!
Huku noma mkuu,dah!....Juzi kati kulikuwa na mechi fulani yaani uchawi hadharani. Watu wameingia uwanjani kukawa na vumbi vumbi na upepo flani wapinzani wakaona wasitaniwe hata kidogo nao wakashusha kamvua ka uchokozi,dah! hiyo ilikuwa live mchana kweupeee mbele ya umati wa raia.
Nilijaribu kufungua ofisi ya bima mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa(wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya. Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo. WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi
wenzako wataendelea kuwekeza wewe umeshindwa sababu ya ignorance yako ya kuamini uchawi kila kitu! hata ukiumwa tumbo badala ya kwenda hospital unakimbilia kwamba ni uchawi! kazi ipo kwa mtu wa karne hii unakuwa na mawazo ya hovyo namna hiyo!
Actually uchawi unauzwa kama bidhaa za dukani maeneo ya Songea na Kyela (pembezon mwa ziwa nyasa) kuna uchawi wa mamba=ukitaka mtu auliwe na mamba unaenda na 1,000 (elfu moja tu) huyo mtu ataokotwa ziwani akiwa ameuliwa na mamba
Nilijaribu kufungua ofisi ya bima mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa(wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya. Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo. WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi
Hujielewi eeeeeh
Mimi nampinga kwasababu anatukana Wanyakyusa na kutudharau sababu ya imani zake za kichawi,ana maneno ya maudhi sana kwanza anaongea bila tafiti,pili anataka kulazimisha watu waamini uchawi kama yeye anavyo amini! ningeweza kukaa kimya kama angesema mbeya wachawi nisinge jali maana ni ujinga wake ana amini hivyo lakini kusema watu wa mbeya wa hovyo sana kwakweli hapo hajatutendea haki kabisa na hii thread hajaanzia huku ipo hata kwenye jukwaa la biashara ametukana sana,so ulitaka nikae kimya? hivi Tz tukianza kutukana hivyo huoni hiyo ni mbegu mbaya sana ya chuki? mfano wewe mtu akikomaa humu jamii forum kwamba watu wa kwenu wa hovyo sana ana attack kabila unaona hicho kitu kiko sawa kweli?wewe KAJEMBE mbona umekaa kupinga tu au wewe ndo mchawi mwenyewe anayezugumziwa na mtoa mada? hapa ametaja watu ambao hawadhuriwi na uchawi wa wanyakyusa. Je ni kweli?na kwa nini?